TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
ulipewa dawa bila vipimo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulipewa dawa bila vipimo ?
Sema ulichopimwa na matokeo yake!
Ndio nini hicho mkuuSema ulichopimwa na matokeo yake!
Cervical Spondylisis inakuhusu!!!
Disc mojawapo kwenye shingo imeleta shida (bulge or herniation)
Mkuu tatizo unaandika term za kitabibu wengine hatujui hivi kama wewe ni dakitari wagonjwa ndio unawaambia hivi?Disc mojawapo kwenye shigo imeleta shida (bulge or herniation)
Disc ni pingiliMkuu tatizo unaandika term za kitabibu wengine hatujui hivi kama wewe ni dakitari wagonjwa ndio unawaambia hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cervical Disc Disease Treatment & Management: Rehabilitation Program, Medical Issues/Complications, Surgical Intervention mimi sio daktari.Mkuu tatizo unaandika term za kitabibu wengine hatujui hivi kama wewe ni dakitari wagonjwa ndio unawaambia hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huumwi wewe!
Siumwi? Wewe unaujua mwili wangu kuliko mimi? Nikiuliza sehemu ambayo sijaelewa nakuwa siumwi duuhHuumwi wewe!
Nimeupdate bossSema ulipopimwa ulionekana una shida gani au moja wapo ya hayo magonjwa kwenye list hapo juu unalo?hii itakusidia kupewa msaada..
Ulikuwa na tatizo kama langu?Mimi nime sumbuliwa sana na tatizo la cervical spondylosis, nilipata nafuu baada ya kupata tiba badala kutoa kwa mama mmoja yuko maeneo ya Chanika anaitwa Binti Mkasi. Lakini inapendeza kama unakuwa na vipimo bus X-ray / MRI.
Sent using Jamii Forums mobile app