Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vya utali. Ina milima na mabonde mistu mbuga na wanyama wengi wa kutosho lkn pamoja na vivutio vyote hivyo watalii akuna wa nje mpaka wa ndani tatizo ni nini tumelogwa?
 
Umesema duniani ndio maana na kukatalia. Vivutio ulivyotaja hapo ni vya aina moja, natural. Tourist attraction zipo natural, caltural, metropolitan and e. t. c. Utalii sio mbuga za wanyama tu, I repeat, ukisema duniani you are very wrong
 
nchi ya kwanza kwa vivutio vya utalii duniani ni Brazil ya pili ni shamba la bibi Tanzania
 
Ni ya pili kwa wingi wa vivutio duniani!! Ila ni ya 105 kwa kuvutia watalii.

Hii mada nilishawahi kuileta pia hapa, soma vizuri ujue jinsi ulivyo na viongozi mataahira nchi hii
 
nchi ya kwanza kwa vivutio vya utalii duniani ni Brazil ya pili ni shamba la bibi Tanzania

Nadhani hata hizi sinema za serikali ya ccm ziingie kwenye moja ya vivutio vya kitalii duniani.
Wazungu waje kuwaona watu mafisadi wakubwa waliopo Tanzania, waje kuwaona wachumia tumbo walioko Tanzania.
Najua mtashangaa ila hii ni fursa tayari hata msiponisadiki najua sekta ya utalii itakua maana mtu kama PM, komba na wasira ni vivutio pia.
 
nchi ya kwanza kwa vivutio vya utalii duniani ni Brazil ya pili ni shamba la bibi Tanzania

kwanini maliasili hazna faida kwa raia wa kawaida ? Wanao neemeka ni raia wageni.
Jibu lako, ww fanya maamuz stahili ktk uchaguz 2015.
 
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vya utali. Ina milima na mabonde mistu mbuga na wanyama wengi wa kutosho lkn pamoja na vivutio vyote hivyo watalii akuna wa nje mpaka wa ndani tatizo ni nini tumelogwa?

Source please...
 
kwanini maliasili hazna faida kwa raia wa kawaida ? Wanao neemeka ni raia wageni.
Jibu lako, ww fanya maamuz stahili ktk uchaguz 2015.
we mi nilishafanya maamuzi mapema ila sisi tuliofanya uamuzi mapema tuko wachache sana
 
Ndugu Mtoa mada rekebisha kidogo huenda ulitaka kuandika ni ya pili Duniani kwa kutorosha Vivutio vya utalii.

===================================================================================================

WIZI WA WANYAMA HAI WAITAFUNA TANZANIA
Kesi ya wizi wa wanyama hai: Mashahidi waeleza namna Twiga hai walivyotoroshewa nje
"Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka, wameieleza mahakama namna wanyamahai, wakiwamo twiga wanne, walivyosafirishwa kwenda Doha nchini Qatar kwa kutumia ndege ya jeshi.

Mashahidi hao, akiwamo mmoja wa madereva wa lori, walitoa ushahidi wao juzi wakiongozwa na jopo la mawakili watatu wa Serikali, Evetha Mushi, Pius Hilla na Stella Majaliwa.

Shahidi wa sita, Davis Kimei aliyekuwa dereva wa lori aina ya Mitsubish Fusso, alieleza namna alivyosafirisha wanyama hao toka Arusha hadi Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kia).

Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Simon Kobelo shahidi huyo alidai Novemba 25, 2010 alikodishwa kubeba wanyama hao na watu watatu, wakiwemo wawili wenye asili ya kiasia hadi uwanja wa Kia kwa ujira wa Sh150,000.

"Baada ya kuelewana tulikwenda hadi kwenye nyumba moja eneo la Kwamrefu, Arusha na humo ndani nilikuta vijana wengi ambao walikuwa wakitengeneza mabox yaliyokuwa na Twiga na Swala," alisema.

Shahidi huyo alidai baada ya kuwapakia wanyama hao, msafara wa malori manne ulielekea Kia na kufika saa 8:00 usiku na kuelekea moja kwa moja uwanjani ambapo walikuta ndege kubwa ya jeshi imeegeshwa.

"Maboksi yale yalishushwa na kupakiwa katika ndege hiyo usiku ule wa manane," alisema.

Shahidi wa saba, alidai siku ya tukio saa 4:00 usiku aliwasikia wafanyakazi wawili uwanjani hapo, wakisema kuna wanyama wangesafirishwa usiku huo.

"Nilimdokeza mkuu wa upelelezi… Nilipokuwa nyumbani bosi wangu alinipigia simu na kuniambia ile taarifa niliyompa ilikuwa ni ya kweli kuna ndege ya Serikali inasafirisha wanyamapori," alisema.

Shahidi huyo alidai kuwa saa 6:00 usiku alirudi kazini na ilipofika saa 8:30 usiku lilikuja basi aina ya Toyota Coaster ambapo walishuka watu wenye sare za jeshi wenye asili ya kiarabu.

Washtakiwa katika kesi hiyo inayovuta hisia za Watanzania wengi ni Kamran Ahmed, Hawa Mang'unyuka, Michael Mrutu na Patrick Paul na kesi hiyo itaendelea kusikilizwa Agosti 13 na 14.

Baadhi ya picha za Doha zoo nchini Qatar.

[ Twiga atoroshwa.jpg

Twiga.jpg

Chungulia na hii Serikali inavyoavuliwa nguo na nchi za nje kuhusu Meno ya Tembo.

Madudu zaidi meno ya tembo - Kitaifa - mwananchi.co.tz

===================================================================================================

HOJA YANGU:

Hiyo taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania ni ya pili kwa vivutio vya Utalii huenda imeandaliwa na Serikali ya Tanzania katika kujikosha na tuhuma zote hizi.

Taarifa ya IKULU huwa inapikwa tu kuficha ukweli lakini mwisho wa siku kitaeleweka.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vya utali. Ina milima na mabonde mistu mbuga na wanyama wengi wa kutosho lkn pamoja na vivutio vyote hivyo watalii akuna wa nje mpaka wa ndani tatizo ni nini tumelogwa?

Mh! hizi data (source) yake ni wapi? unajua idadi ya watalii wanakuja Tz. kwa mwaka ukilinganisha na Kenya ikoje? na hata kama una vivutio vingi wakati hakuna watalii ina maana gani?

Uwe unakula kwanza kabla ya kutumia 'ile kitu'.
 
Back
Top Bottom