Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Mtoa mada rekebisha kidogo huenda ulitaka kuandika ni ya pili Duniani kwa kutorosha Vivutio vya utalii.
===================================================================================================
WIZI WA WANYAMA HAI WAITAFUNA TANZANIA
Kesi ya wizi wa wanyama hai: Mashahidi waeleza namna Twiga hai walivyotoroshewa nje
"Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka, wameieleza mahakama namna wanyamahai, wakiwamo twiga wanne, walivyosafirishwa kwenda Doha nchini Qatar kwa kutumia ndege ya jeshi.
Mashahidi hao, akiwamo mmoja wa madereva wa lori, walitoa ushahidi wao juzi wakiongozwa na jopo la mawakili watatu wa Serikali, Evetha Mushi, Pius Hilla na Stella Majaliwa.
Shahidi wa sita, Davis Kimei aliyekuwa dereva wa lori aina ya Mitsubish Fusso, alieleza namna alivyosafirisha wanyama hao toka Arusha hadi Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kia).
Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Simon Kobelo shahidi huyo alidai Novemba 25, 2010 alikodishwa kubeba wanyama hao na watu watatu, wakiwemo wawili wenye asili ya kiasia hadi uwanja wa Kia kwa ujira wa Sh150,000.
Baada ya kuelewana tulikwenda hadi kwenye nyumba moja eneo la Kwamrefu, Arusha na humo ndani nilikuta vijana wengi ambao walikuwa wakitengeneza mabox yaliyokuwa na Twiga na Swala, alisema.
Shahidi huyo alidai baada ya kuwapakia wanyama hao, msafara wa malori manne ulielekea Kia na kufika saa 8:00 usiku na kuelekea moja kwa moja uwanjani ambapo walikuta ndege kubwa ya jeshi imeegeshwa.
Maboksi yale yalishushwa na kupakiwa katika ndege hiyo usiku ule wa manane, alisema.
Shahidi wa saba, alidai siku ya tukio saa 4:00 usiku aliwasikia wafanyakazi wawili uwanjani hapo, wakisema kuna wanyama wangesafirishwa usiku huo.
Nilimdokeza mkuu wa upelelezi Nilipokuwa nyumbani bosi wangu alinipigia simu na kuniambia ile taarifa niliyompa ilikuwa ni ya kweli kuna ndege ya Serikali inasafirisha wanyamapori, alisema.
Shahidi huyo alidai kuwa saa 6:00 usiku alirudi kazini na ilipofika saa 8:30 usiku lilikuja basi aina ya Toyota
[View attachment 203744
View attachment 203745
Chungulia na hii Serikali inavyoavuliwa nguo na nchi za nje kuhusu Meno ya Tembo.
Madudu zaidi meno ya tembo - Kitaifa - mwananchi.co.tz
===================================================================================================
HOJA YANGU:
Hiyo taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania ni ya pili kwa vivutio vya Utalii huenda imeandaliwa na Serikali ya Tanzania katika kujikosha na tuhuma zote hizi.
Taarifa ya IKULU huwa inapikwa tu kuficha ukweli lakini mwisho wa siku kitaeleweka.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vya utali. Ina milima na mabonde mistu mbuga na wanyama wengi wa kutosho lkn pamoja na vivutio vyote hivyo watalii akuna wa nje mpaka wa ndani tatizo ni nini tumelogwa?
Ndio.nina uhakika tena kwa asilimia 100
Ndugu Mtoa mada rekebisha kidogo huenda ulitaka kuandika ni ya pili Duniani kwa kutorosha Vivutio vya utalii.
===================================================================================================
WIZI WA WANYAMA HAI WAITAFUNA TANZANIA
Kesi ya wizi wa wanyama hai: Mashahidi waeleza namna Twiga hai walivyotoroshewa nje
"Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka, wameieleza mahakama namna wanyamahai, wakiwamo twiga wanne, walivyosafirishwa kwenda Doha nchini Qatar kwa kutumia ndege ya jeshi.
Mashahidi hao, akiwamo mmoja wa madereva wa lori, walitoa ushahidi wao juzi wakiongozwa na jopo la mawakili watatu wa Serikali, Evetha Mushi, Pius Hilla na Stella Majaliwa.
Shahidi wa sita, Davis Kimei aliyekuwa dereva wa lori aina ya Mitsubish Fusso, alieleza namna alivyosafirisha wanyama hao toka Arusha hadi Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kia).
Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Simon Kobelo shahidi huyo alidai Novemba 25, 2010 alikodishwa kubeba wanyama hao na watu watatu, wakiwemo wawili wenye asili ya kiasia hadi uwanja wa Kia kwa ujira wa Sh150,000.
Baada ya kuelewana tulikwenda hadi kwenye nyumba moja eneo la Kwamrefu, Arusha na humo ndani nilikuta vijana wengi ambao walikuwa wakitengeneza mabox yaliyokuwa na Twiga na Swala, alisema.
Shahidi huyo alidai baada ya kuwapakia wanyama hao, msafara wa malori manne ulielekea Kia na kufika saa 8:00 usiku na kuelekea moja kwa moja uwanjani ambapo walikuta ndege kubwa ya jeshi imeegeshwa.
Maboksi yale yalishushwa na kupakiwa katika ndege hiyo usiku ule wa manane, alisema.
Shahidi wa saba, alidai siku ya tukio saa 4:00 usiku aliwasikia wafanyakazi wawili uwanjani hapo, wakisema kuna wanyama wangesafirishwa usiku huo.
Nilimdokeza mkuu wa upelelezi Nilipokuwa nyumbani bosi wangu alinipigia simu na kuniambia ile taarifa niliyompa ilikuwa ni ya kweli kuna ndege ya Serikali inasafirisha wanyamapori, alisema.
Shahidi huyo alidai kuwa saa 6:00 usiku alirudi kazini na ilipofika saa 8:30 usiku lilikuja basi aina ya Toyota Coaster ambapo walishuka watu wenye sare za jeshi wenye asili ya kiarabu.
Washtakiwa katika kesi hiyo inayovuta hisia za Watanzania wengi ni Kamran Ahmed, Hawa Mangunyuka, Michael Mrutu na Patrick Paul na kesi hiyo itaendelea kusikilizwa Agosti 13 na 14.
Baadhi ya picha za Doha zoo nchini Qatar.
[View attachment 203744
View attachment 203745
Chungulia na hii Serikali inavyoavuliwa nguo na nchi za nje kuhusu Meno ya Tembo.
Madudu zaidi meno ya tembo - Kitaifa - mwananchi.co.tz
===================================================================================================
HOJA YANGU:
Hiyo taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania ni ya pili kwa vivutio vya Utalii huenda imeandaliwa na Serikali ya Tanzania katika kujikosha na tuhuma zote hizi.
Taarifa ya IKULU huwa inapikwa tu kuficha ukweli lakini mwisho wa siku kitaeleweka.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mh! hizi data (source) yake ni wapi? unajua idadi ya watalii wanakuja Tz. kwa mwaka ukilinganisha na Kenya ikoje? na hata kama una vivutio vingi wakati hakuna watalii ina maana gani?
Uwe unakula kwanza kabla ya kutumia 'ile kitu'.
Kweli hapo ni typing error mkuu hautaji kuwa na degree kujua"Vivuti" ndio nini mkuu?
Mkuu ushimen kama umewahi kusoma kitabu hata kimoja utajua kuwa kitabu hakichapishi bila editing tena zaidi ya moja na watu tofauti na mwandishi.Alafu nimeona sehem ameandika kwamba alifanya research ili aweze kuandika kitabu.
Sasa sijui hata hicho kitabu angekiandikaje kwa style yake hiyo
Basi sawaMkuu ushimen kama umewahi kusoma kitabu hata kimoja utajua kuwa kitabu hakichapishi bila editing tena zaidi ya moja na watu tofauti na mwandishi.
Namba moja nimewahu sikia, wanasema ni msitu wa shengena.Binafsi nilijaribu kufanya research ili niandike kitabu cha vivutio vya kitalii ambavyo havijawa promoted niliishia kusikia kuna
1.msitu unao ongea same
2.ukirusha jiwe kwenye ziwa chala(kilimanjaro) halitakaa lirudi chini
3.kuna sehemu iringa pakuvuka ukijaribu kuvuka panapanuka na unazama
4.kaburi ambalo umeme haupiti iringa
kama unajua vingine na maajabu mengine ndani ya nchi yetu pendwa endela kuvitupia..