Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Kuna muda ukifikiria mshahara unaopata na unavyoishi unaona kama maigizo, ukifikiria kwa makini sana unaona ni maigizo kweli.
 
H
Hakuna mtumishi wa Afya wa ngazi ya cheti mwenye mshahara chini ya Tsh 432,000. Take home Tsh 380,000 ( bila Makato ya chama Cha wafanyakazi, au Tsh 370,000 Kama yakiwepo).
Health attendants je?
 
Sahihi kabisa Mkuu... Ni miujiza.
Mimi kusema kweli mshahara ninaopata ni mdogo na huwa naufagia ndani ya siku 10 muda mwingine siku 4. Hii ni sinema tosha.
Naishi kwa madili mengine halali palepale kazini.
Ni kwa vile tu ni kazi ambayo hainibani ndio maana navumilia.
 
Kaka unavijua viwango vya mshahara kweli! Maana hizo scale zako sijui ni za wapi. Anyway, kushindanisha viwango vya mshahara ni upuuzi.
 
Kama hiyo ndo mishahara mnayolipwa wasomi wa Tz mbona hakuna hata anayegusa mshahara wangu wa ulinzi, alafu mnatudharau
 
Kama hiyo ndo mishahara mnayolipwa wasomi wa Tz mbona hakuna hata anayegusa mshahara wangu wa ulinzi, alafu mnatudharau
Fanya yako Mkuu. Sidhani kama hata Kuna mashindano
 
Kwani ulitaka walipwaje!??hebu weka mshahara wa fani nyingine kama.wahasibu,human resources, uone ,hats polis magereza uhamiaji uone
 
bila kuweka kada zingine kama kilimo, maendeleo ya jamii polisi magereza huuuzi wako utaonekana ni baada kuona una chance ndoo ya kuajiriwa kama mwl
 
Umeleta ya nini hapa kiongozi si ungeishia NMB ATM machine ukasepa kwa Mangi ukaclear madeni ili uanze upya kukopa. Au visheti na ubuyu havijauzika leoimi
Mimi ndio nimeleta huu UZI?

Wewe Ni mpumbavu. Na tunajua mabwabwa Kama nyie hamjawahi kupenda Watumishi kwasababu mnaishi kwa WIVU na CHUKI.

Bora wao wanakopesheka kwa mangi, na wewe nenda kakope.

Unadhani kukopesheka Ni makalio kila mtu ana sifa za kukopesheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…