Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

weka payslip yako hapa Nami niweke yangu kama hujamtuma mkeo aje kuomba ada ya watoto. Kwa tafsiri yako mtumishi ni mwl pekee. Bwege wewe endelea kula vumbi ya chaki huko. Mshahara wangu kwa taarifa yako hata wateule wa rais wanasubiri unaweza kufanya calculation za haraka haraka kama kweli wewe umeajiriwa P. A. Y. E nakatwa zaidi ya 1.3 then you got my gross pay you sh**t Hole.
Utasabisha nipigwe ban mshenzi wewe unaniletea stress zako mimi, pambana na hali yako. Loan board wanakusubiri, Bima, CWT, PSPF, P. A. Y. E nk lazima maji uite mma
 

 
umeishiwa mimi si level yako buddy. Tuongee mambo mengine ya kuchangamsha jukwaa wakati unajadili mshahara wa laki tatu leo hii 2022.Mimi huo mshara niliupokea 1999.
Kwamba Mimi na wewe tunashinda humu au?

Kalia kwanza usikisikilizie hapo. Huna akili

 
Hakuna lolote, labda kuvaa makoti machafu na oversize basi lkn maendeleo hakuna kitu, wamenifanya nichukie ualimu na siwezi kuruhusu mwanangu awe mwlimu.
 
huna jipya kawaida yenu wajita misifa, umbea na unafiki ili hali mu maskini wa kutupwa. Ukimiliki baiskeli na kokoro tayari unaona umemaliza
Akili yako ndogo kama mavi baba yako. Mimi siyo Mjita

 
Sio gari tuuu wana mpaka machine za kusaga magari magest nk!!! Amini nakwambia !!! Jamaa yangu ni teacher kasjiriwa 2016 ana machine mbili za kusaga! Coaster moja!!! Ana mpango wa kujenga gest namanga arusha yeye yupo dar!!!! Huwa ananichosha sana
Vyote hivyo kwa mshahara upi? Wengine ni vya urithi, wengine ni wahasibu, bila hivyo vyanzo viwili maisha ni choka mbaya si mwl mkuu si wa kawaida.
 
Kuna watu wanalipwa laki 2 kwa mwezi na wanaishi vizuri tu hawana stress za maisha
 
Asee
 
Ukiwa mwanasheria wa serikali unaanzia TGS E hio 940,000 ambayo ni 960,000 siku hizi...😁😁😁
 
Hivi unajua mtu anayefanya kazi stationery, duka, hotel, mgahawa, dereva, mwalimu vituo vya Chekechea nk wanalipwa sh ngapi?
Haimaanishi wanaishi vizuri sasa, au kwa sababu hawana sauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…