Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gross ya hao wengine wote, Degree wanaanza na Tsh 710,000 wakati Mwalimu anaanza na Tsh 716,000.Tuthibitishie tuone kama alivyo fanya mtoa mada
F1 ni daraja. Mtu anapanda baada ya kufanya kazi miaka kadhaa.Hao F1 ndio walimu wa hesabu au?
Vipi Kama una kibanda Cha urithi na pikipiki ndogo,,mshaara huo unatosha???jibu bado hapanaHujatoa kodi ya nyumba na usafiri wa kila siku kwenda kazini.
Aje yule dada aliyesemq kaka yake analipwa 3m na hana lolote.Take home 331,000 . Hapa lazima ujiongeze.
Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?F1 ni daraja. Mtu anapanda baada ya kufanya kazi miaka kadhaa.
Yaani wale wa kwenye 419,000 wanenda kwenye 530,000 na wale wa 530,000 wanaenda kwenye 716,000 huku wale wa 716,000 ndio wanaenda kwenye 940,000.
Hii Tsh 940,000 ndio daraja la F1.
Kama huwa unasikia kuoandishwa madaraja ya watumishi ndio haya. Na kila mtumishi ana haki ya kupanda kila baada ya miaka 4.
Rekebisha hapo kwenye 940,000 hiyo ni E siyo F mkuuF1 ni daraja. Mtu anapanda baada ya kufanya kazi miaka kadhaa.
Yaani wale wa kwenye 419,000 wanenda kwenye 530,000 na wale wa 530,000 wanaenda kwenye 716,000 huku wale wa 716,000 ndio wanaenda kwenye 940,000.
Hii Tsh 940,000 ndio daraja la F1.
Kama huwa unasikia kuoandishwa madaraja ya watumishi ndio haya. Na kila mtumishi ana haki ya kupanda kila baada ya miaka 4.
Ndio hivyo. Na hapo inategemeana na Rais.Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Hapa natofautiana na wewe mkuu. Legal Officer anayeanza kazi kwa local government anaanza na TGS E. Usipotoshe umma.sheria
Mkuu mpaka upate hiyo bahati,hakuna alietuchelewesha kama mwenda zake.Mfano mm mpaka sasa nilitakiwa niwe F lakini ndoo nipo D sasa fikiria mdaa niliokaa kazini na salary ya D uone tunavyo pambana na maisha magumu kweli kweli.Hujengi na huku unasomesha ndugu weee acha tu.Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years [emoji28] kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Unashangaa laki tatu hiyo ni kubwa sana,kuna watu wana 120000/100000/80000 na maisha yanaendelea,asilimia za mkopo(HESLB) zilipoongezwa jamaa walikuwa wanakomba kila kitu pasipo kujari sheria ya kubakiza one third.Take home 331,000 . Hapa lazima ujiongeze.
Hapo Wazazi kijijini bado hawajakuambia shida zao, mara michango ya harusi,misiba,mavazi, dharura,n.k.Bado hujadaiwa Scheme of work, Lesson plan,hujaambiwa tunga mitihani,mara usahihishe na kupanga matokeo.Muda wa kufanya mishe zako unabaki kiduchu sana,huku mwanasiasa anakukoromea kuwa hakikisha mnafaulisha hivyo fundisheni hadi muda wa ziada.Hujatoa kodi ya nyumba na usafiri wa kila siku kwenda kazini.
Naomba unielimishe mkuu. TGTS I ndio daraja lipi hilo? Just curiousViwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved.
B1 = Basic 419,000
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-
Cwt = 8,390. Pension = 20,950. Income = 46,090. Insur = 12,570 Take home = 331,000
C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600. Pension = 26,500. Income = 58,300. Insurance = 15,900 Take home = 418,700
D1= Basic 716,000
Cwt = 14,320. Pension = 35,800. Income = 78,760. Insurance = 21,400 Take home = 565,640
E1 = Basic 940,000
Cwt = 18,800. Pension = 47,000. Income = 103,400. Insurance = 28,200 Take home = 742,600
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 24,700. Pension = 61,750. Income = 135,850. Insurance = 37,050 Take home = 975,650.
Kazi ni kwako ndugu mwalimu.
Hata kama ni hivyo:Hapa natofautiana na wewe mkuu. Legal Officer anayeanza kazi kwa local government anaanza na TGS E. Usipotoshe umma.
Pia kwa kawaida watumishi wenye shahada ya kwanza ukiachana na wale wa kwenye mashirika ya umma isipokuwa kwa baadhi ya kada kama afya huanza na daraja TGS D.
Hapo kwenye Take home inatakiwa utoe MIKOPO ya mabenki.Take home =