Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved.

  • TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/-​
  • TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/-​
  • TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/-​
  • TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-​
B1 = Basic 419,000
  • Cwt = 8,390.​
  • Pension = 20,950.​
  • Income = 46,090.​
  • Insur = 12,570​
  • Take home = 331,000​

C1 = Basic 530,000
  • Cwt = 10,600.​
  • Pension = 26,500.​
  • Income = 58,300.​
  • Insurance = 15,900​
  • Take home = 418,700​

D1= Basic 716,000
  • Cwt = 14,320.​
  • Pension = 35,800.​
  • Income = 78,760.​
  • Insurance = 21,400​
  • Take home = 565,640​

E1 = Basic 940,000
  • Cwt = 18,800.​
  • Pension = 47,000.​
  • Income = 103,400.​
  • Insurance = 28,200​
  • Take home = 742,600​

F1 = Basic 1,235,000
  • Cwt = 24,700.​
  • Pension = 61,750.​
  • Income = 135,850.​
  • Insurance = 37,050​
  • Take home = 975,650.

Kazi ni kwako ndugu mwalimu.
Rekebisha hapo E1 Ni 751000
 
Waache tu wanashonaga Hadi sare kupokea mwenge kwa huohuo mshahara.

ila mi nawakubali wanaishi kwa akili nyingi sana hapo utakuta aliekaa kazin miaka 5 tu tayari ameshajenga na anamishemishe zingine (kwa mikoani lakin)
ila kwa dar kwa mshahara huo maendeleo yako yatabaki ni kumiliki gari tu
Huo mshahara unaweza kufanya maendeleo ukiwa mikoani.
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna Mwalimu anaeshona sare ya mwenge. Sema tu wewe una chuki dhidi ya Walimu. Hebu tutajie mwalimu mmoja tu unaemfahamu ambaye ulimkuta siku moja anashona sare ya mwenge mkuu
 
TGTS E1=940000/= Basic Nimepanda juzi tu kwa Mama samia!!!
Msiseme tuna maisha magumu!ugumu wa maisha unaanzia kichwani mwako mwenyewe!!sema jpm ndio alitutesa sana kwa miaka hii sita!tunamshukuru Mungu:-
Mwaka wangu wa saba huu kwenye job:-Nyumba tatu,frem nne za biashara,glossary,ukumbi wa mikutano na Kuonyesha mpira live!Mashamba ya miti eka tano huko njombe!!!Duka la nyumbani hapa anauza mama watoto!!Baba wa watoto mbili Tatu loading... Please wait!!na mwakani mama ataongeza mishahara aliahidi mei mosi mwaka huu!!AKILI !AKILI!AKILI!!!WATUMISHI WENGI AKILI HAMUNA KABISA KAZI POMBE NA MIKASI TU!NAWAONA HAPA KIJIWENI FULL VITUKO!!!
 
Jidanganye mkuu
 
Ndugu mwalim kumbe yale mashati ya vitenge mnayovaa sare mnapoenda kwenye mkesha wa mwenge huwa mnapewa mgao na serekali?
 
TGTS E1=940000/= Basic Nimepanda juzi tu kwa Mama samia!!!
Msiseme tuna maisha magumu!ugumu wa maisha unaanzia kichwani mwako mwenyewe!!sema jpm ndio alitutesa sana kwa miaka hii sita!tunamshukuru Mungu:-
Mwaka wangu wa saba huu kwenye job:-Nyumba tatu,frem nne za biashara,glossary,ukumbi wa mikutano na Kuonyesha mpira live!Mashamba ya miti eka tano huko njombe!!!Duka la nyumbani hapa anauza mama watoto!!Baba wa watoto mbili Tatu loading... Please wait!!na mwakani mama ataongeza mishahara aliahidi mei mosi mwaka huu!!AKILI !AKILI!AKILI!!!WATUMISHI WENGI AKILI HAMUNA KABISA KAZI POMBE NA MIKASI TU!NAWAONA HAPA KIJIWENI FULL VITUKO!!!
Mkuu una akili mingi sana duniani hakuna mshahara unaotosha ila unatakiwa uishi kwa malengo utashashangaa anaelipwa 500k lakin anaishi vizuri kuliko anaelipwa 900k , hii ni sababu vijana tukipata ajira huwa tunawaza starehe wengine walikua hawana tabia ya kunywa pombe ndo anaenda kujifunzia huko starehe zinakua nyingi kuliko mikakati ya kujijenga kiuchumi
 
Back
Top Bottom