Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Tuko hapa kueleweshana, sasa kama wewe unaona nimekosea unasahihisha.Itafute TJS
Unaposema nitafute, kwani mimi nina shida ya kutaka kutafuta.
Vitu vingine ni vya kawaida lakini unataka kujifanya sijui ni siri au mpaka ubembelezwe ndio useme.