Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Pesa nyingi sana hiyo, serikali inafanya kazi! Alisikika mwanaccm mmoja akiongea.
 
Mhhhh
 
Ndugu usilinganoshe hao wachumi, sociologist na walimu.
Walimu wanasubiri kusahihisha mitihani na semina kwa mwaka labda mara 2
Huyo mchumi akienda trainning, kazi za nje ya ofisi kwa mwezi tu anapata perdm mara 5 ya mshahara
 
Kada ya Afya ina Scale zake tofauti na uliyoitaja...Wana Scale zinaitwa "TGHS......"
 
Hahahahah...unaongea kuhusu reality???? Unajua mwalimu aliyeanza 2005 ana scale gani?

Uliza uambiwe, lkn nakushangaa pia...Mto mada kaeleza vizuri, shida nini unashindwa kuangalia alichosema,??

Eti 1600000!??!
 
We ni shule ya msingi au sekondari
 
Sasa D1 ya Accountant nii 710,000 tofauti 6,000 ndo unasema watasubiri??!!!

Afu mwanasheria/wakili anaanza na E1 950,000
 
Uko sahihi tatizo walimu hawana madili zaidi ya kusimamia na kusahisha mitihani
 
Ndio hivyo. Na hapo inategemeana na Rais.

Magufuli hakupandisha kabisa watu madaraja.

Rais Samia ndio amekuja kuokoa jahazi.
Magu alipandisha SANA WATU MADARAJA SO ACHA ULONGO
 
[emoji849] yani hicho kichwa cha habari kilipoishia eti ni mateso...
 
Sasa D1 ya Accountant nii 710,000 tofauti 6,000 ndo unasema watasubiri??!!!

Afu mwanasheria/wakili anaanza na E1 950,000
Sijasema watasubiri. Nilichotaka ni kuonesha hii dhana ya walimu kulialia wana mshahara mdogo inatoka wapi ?
 
Hata walimu wana dili zao. Mimi nina marafiki zangu wawili, kila mwaka wanaenda Marking wanarudi mpaka na 2M.

Mambo yao ni mazuri tu.
Yaani kilimo kazi za kitumwa nje ya ofisi ukilipwa ni nyingi,hata milioni unawwza piga,acha hzo kazi nje za walimu
 
Ndugu usilinganoshe hao wachumi, sociologist na walimu.
Walimu wanasubiri kusahihisha mitihani na semina kwa mwaka labda mara 2
Huyo mchumi akienda trainning, kazi za nje ya ofisi kwa mwezi tu anapata perdm mara 5 ya mshahara
Mkuu humu ndani nimegundua kuna watu na maviatu.. Wanapiga tu kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…