Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
Bei ta kizalendo kabisa hata watamisemi wanamudu bila nongwaHabarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22
Ukihitaji tuwasiliane Dm.
Kabisa mkuuBei ta kizalendo kabisa hata watamisemi wanamudu bila nongwa
MsalatoHabarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22
Ukihitaji tuwasiliane Dm.
Msalato 800sqm kwa 22m ?? Ni kupoteza mtaji mapema tu.
Dah mkuu navihitaji vyote haraka iwezekanavyo. Pia mkuu ikiwezekana nitafutie vingine 32 kama hivyo maeneo hayohayo.Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote kwa pamoja 14 Bei Milioni 190 ila ukichukua Kimoja bei Milioni 22
Ukihitaji tuwasiliane Dm.
Ndio vipo msalato mkuuMsalato
Safi nicheki faster inbox nivichukue chap. Usisahau pia kunitafutia vingine kama hivyo 32 hivi maeneo hayohayo. Pamoja sana ππΏππΏπ€πΏVipo mkuu nakucheki DM
Okay vunga kiaina.Umefunga DM mkuu nitext DM kwangu
Sawa mkuu