House4Sale Viwanja bei ya ofa vikindu kwa laki saba tu

Sasa bei ni laki saba au nane?
 
Vikindu iko sehemu gani?
Near Lindi!
swali lako limenikumbusha mtu alikosa kazi kwa mzungu baada ya secretary kujibu vibaya swali aliloulizwa na mzungu kuwa mbagala iko wapi sasa badala ya secretary kumwelekeza ni njia ya kwenda Lindi yeye akajibu near Lindi mzungu akamtema jamaa kwa sababu gharama za usafiri wa kumpitia kuja ofisini zitakuwa kubwa sana.
 
1m=3.28084foot
x1? =50foot
x2? =40foot

x1=15.23m
x2=12.19m

x1X x2=185.68 square meters
NB:Ongeza ukubwa wa viwanja vyako mkuu,ni vidogo mno,sijui hata kama utaweza kupanda hata mwembe
Kwa hesabu hizo ndiyo maana bei imekuwa ndogo! Halafu vipimo vya foot huwa sivipendi kabisa. Angeweka vipimo tulivyovizoea vya mita
 
Wewe ndo utaongeza. Mtu Akifika site ataleta mrejesho mzuri. Aisee usitegemee Dar na maeneo jirani kupata kiwanja cha meter 20/20 (Sqm 400) kwa bei chini ya 1.5M kinachoelezea. Huu mradi ni dhahabu. Kumbuka Vikindu unaweza kwenda sehemu nyingi Dar kwa urahisi.

By the way tuna Viwanja Goba pia tumepima kwa squre meter. Na sqm moja ni sh 45,000
1m=3.28084foot
x1? =50foot
x2? =40foot

x1=15.23m
x2=12.19m

x1X x2=185.68 square meters
NB:Ongeza ukubwa wa viwanja vyako mkuu,ni vidogo mno,sijui hata kama utaweza kupanda hata mwembe
 
Kaka Dar na maeneo jirani unataka kiwanja cha sqm 400 kwa laki saba? Ukivipata hata kama ni heka nipigie, sisi tutanunua mara mbili yake. Uzuri eneo unaongeza kulingana na uwezo wako. Acha wenye uwezo mdogo pia wajenge. Kulipa kodi kila mwezi inachosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…