House4Sale Viwanja bei ya ofa vikindu kwa laki saba tu

1m=3.28084foot
x1? =50foot
x2? =40foot

x1=15.23m
x2=12.19m

x1X x2=185.68 square meters
NB:Ongeza ukubwa wa viwanja vyako mkuu,ni vidogo mno,sijui hata kama utaweza kupanda hata mwembe
Wajanja wanakimbia kutumia mita, akitumia futi inaonekana eneo kubwa, kumbe sivyo.
 
OK HII HAIJAWAHI KUTOKEA, NI OFA BABU KUBWAA

FUNGA MWAKA KWA KUMILIKI KIWANJA CHA MAKAZI KWA BEI NAFUU. Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja kwa bei ya LAKI SABA TU (700,000/=). Hii ni bei kwa wateja watakaolipia kwa Cash. Na LAKI NANE TU (800,000/=) kwa wateja watakaolipia kwa installment (awamu) utaanza na nusu yake nyingine ndani ya miezi 3.

Viwanja vinapatikana Vikindu, Vianzi karibu na kiwanda cha Plastiki, viwanja vimepimwa, mazingira mazuri yanayovutia kwa makazi, huduma za kijamii kama maji, umeme, Shule na Zahanati viko karibu.

Ukubwa wa viwanja ni Futi 50 X 40 na unaweza kuunganisha zaidi ya viwanja viwili na kuendelea.

Usafiri wa kufika Vikindu ni Uhakika 💯. Kuna Magari ya moja kwa moja kutokea /Kwenda Kariakoo, Temeke, Kigamboni, Kivukoni, Buza, Mbagala n.k Njoo mpaka Vikindu.

Vikindu iko mbele ya Mbagala.

0762815104

Ukiwauliza Wakongwe wa Dar watakwambia majuzi Bunju, Goba, Mbezi kulikuwa ni mapori. Sasa hivi bei ya viwanja maeneo hayo hazishikiki. Chukua kiwanja Vikindu, baadae utajipongeza.

0762815104

View attachment 2019967

View attachment 2019968

View attachment 2019969
30×30 mnaizaje
 
mradi upo km ngapi kutoka stendi ya vikindu?
 
Ofa ya muda mfupi ya viwanja umerudi tena. kwa 𝐋𝐀𝐊𝐈 N𝐀NE 𝐭𝐮. 🎄

Viko 𝐕𝐈𝐊𝐈𝐍𝐃𝐔.
Ni mbele ya Mbagala.

Kama ulikosa awamu ya kwanza na ya pili hii Usikose. Watu wanavishambulia sanaa.

Huu mwaka usiishe huna hata kiwanja.

Viwanja kila siku vinapanda bei, leo unapopadharau kesho ni mji mkubwa na bei hazishikiki.

Sasa kuna hivi viwanja vya Vikindu, Vikindu iko mbele ya Mbagala na ni kabla ya kisemvule na usafiri upo wa moja kwa moja kutokea Kariakoo, Mbagala, Posta, kivukoni, Nk.

Viwanja ni laki nane tu vya futi 50/40. Njoo upate kulingana na urefu wa kamba yako unaweza kuchukua zaidi ya kimoja. Vimepimwa, kuna barabara za mitaa na huduma zote za kijamii zipo.

Ofa ya muda hii. Mauziano serikali ya mtaa Document safi.

Njoo ulipie kabla barabara ya mwendokasi ya Mbagala haijakamilika vikapanda bei sanaa.

Piga 0623961223.
 
Ofa ya muda mfupi ya viwanja umerudi tena. kwa 𝐋𝐀𝐊𝐈 N𝐀NE 𝐭𝐮. [emoji319]

Vikindu sehem gani?
Barabara ya vianzi au magodani?
 
Hiyo namba nilipiga ikapokelewa muhusika akasema nisubiri hapo vikindu lakini nimekaa muda mrefu nikapiga tena imeitaaaaaaa mpakaaaa
 
Kweli?

Samahani sana mbona sikumbuki hii. Tupigie tena tupo team hivyo lazima atakuwepo wa kuupokea 0623961223

Back
Top Bottom