Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #21
Wewe ndio utakufa mapema sana maana mchimba kaburi huanza yeye. Mchawi niwewe na maneno yako , na unahangaika na watu huwajui siuhangaike na maisha yako??Una stress mno, dalali unawaza uchawi? Punguza desperations utakufa mapema
Mkuu Tedo sema wewe... anakwambia wivu!!Nyie ndio mnaharibu miji.....Unapopima kiwanja 10× 10 huo si uchafu......? Huduma za kijamii unazipataje??? Miundp mbinu ya Barbara???
Wizara inapambana kuondoa upimaji wa 20× 20 nyie mnaongelea 10×,10
Dada ubaya wangu nini? Stress zinaua.Wewe ndio utakufa mapema sana maana mchimba kaburi huanza yeye. Mchawi niwewe na maneno yako , na unahangaika na watu huwajui siuhangaike na maisha yako??
Sijui shida zenu nini?? Sasa ngoja niwaache na shida zenu nyie hampo serious nendeni kwenye post zingine bana acha wanaouza wauzeNyie ndio mnaharibu miji.....Unapopima kiwanja 10× 10 huo si uchafu......? Huduma za kijamii unazipataje??? Miundp mbinu ya Barbara???
Wizara inapambana kuondoa upimaji wa 20× 20 nyie mnaongelea 10×,10
Hatujakataa usiuze dada wewe tu unajistukia na stress zako.Sijui shida zenu nini?? Sasa ngoja niwaache na shida zenu nyie hampo serious nendeni kwenye post zingine bana acha wanaouza wauze
Mimi niliwahi kuuza cha 5×10 sq.m na mtu anapiga biashara yake ya welding huko huko Chuga achana nao hao.Sijui shida zenu nini?? Sasa ngoja niwaache na shida zenu nyie hampo serious nendeni kwenye post zingine bana acha wanaouza wauze
Sisi ndio tunapima au nyie ndio mnataka mpimiwe hamna helaNyie ndio mnaharibu miji.....Unapopima kiwanja 10× 10 huo si uchafu......? Huduma za kijamii unazipataje??? Miundp mbinu ya Barbara???
Wizara inapambana kuondoa upimaji wa 20× 20 nyie mnaongelea 10×,10