Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #21
Wewe ndio utakufa mapema sana maana mchimba kaburi huanza yeye. Mchawi niwewe na maneno yako , na unahangaika na watu huwajui siuhangaike na maisha yako??Una stress mno, dalali unawaza uchawi? Punguza desperations utakufa mapema