Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Kwa hiyo bwana dalali muda ulioutumia kuandika hili tangazo lako gharama yake ni millioni 10? unajua value for money kweli?? JF unawalipa sh. ngapi kwenye hiyo milioni 10? madalali ndio huwa mnafanya watu wasihamini kazi zenu, hiyo asilimia 10 ya udalali sijui mliitoa wapi au mwingine anakwambia utanipa kodi mwezi mmoja, bulshit, Ningekua nanunua hivyo viwanja nakupa Laki mbili tu hutaki acha.

Muda nilioutumia kuandika Hili Tangazo humu?
Unathubutuje kudhania Muda wangu hauna thamani, Unanijuaje Mbweha wewe ?

Najua 'Value for money'?
Makalio yako hunijui usilazimishe kujua Mimi Najua nini au sijui nini,
Mimi sihitaji kujua chochote juu yako,
Wewe kujua yanayonihusu mimi itakusaidia nini?

Nawalipa nini JF?
Swali la Kipumbavu kulipokea Tangia Mwaka huu uanze.

Huo Utoto mwingine Siwezi kukujibu.

Dharau kafanyie wakwezo.
 
Me hapo sijamuelewa yaani eti kuonyeshwa tu bila kununua elfu 50,000.
Mkienda kukiona watu 20, anakunja zake 1M fedha halali za kitanzania.

Lakini huu ni wizi. Madalali "halali" huchaji not more than 20,000 kukutembeza kwenye viwanja hata kumi.
 
dalali unatamaa duhh mil 10 yote yoko [emoji28][emoji28][emoji28] ila huyu dawa yake unaenda kukiona,,unaonana na mwenye kiwanja then unajifanya hujakipenda unampa 50 yke

mkiachana unarudi mbio kulipia kiwanja fastar [emoji28]

[HASHTAG]#maza[/HASHTAG] fantah##
 
Mkienda kukiona watu 20, anakunja zake 1M fedha halali za kitanzania.

Lakini huu ni wizi. Madalali "halali" huchaji not more than 20,000 kukutembeza kwenye viwanja hata kumi.
Kwani nimekufunga kamba uje kwangu?
Ongea ka'mwanaume.
 
dalali unatamaa duhh mil 10 yote yoko [emoji28][emoji28][emoji28] ila huyu dawa yake unaenda kukiona,,unaonana na mwenye kiwanja then unajifanya hujakipenda unampa 50 yke

mkiachana unarudi mbio kulipia kiwanja fastar [emoji28]

[HASHTAG]#maza[/HASHTAG] fantah##
MonteLizad wewe,
Huo haujawahi kuwa ujanja,
Usinilazinishe niseme yasiyohusika na hapa.
 
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi.

Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja.

Eneo: MBWENI-Maputo,
Maarufu kama Kwamasista.

Ukubwa:
Kimoja ni SQM 1227,
Kingine ni SQM 1234.

Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451.

Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya Maendeleo ya Ardhi, Nyumba na Makazi.

Eneo ni zuri na linaloendelea kwa kasi,
Likiwa na Miundo mbinu muhimu kama Barabara nzuri, Mitandao ya Umeme na Maji pia jirani.

Bei ya jumla ni Tshs.100M.
(Milioni Mia Moja) Kwa vyote viwili.

Au

Tshs.50M (Milioni Hamsini tu)
Kwa wahitaji tofauti wa kiwanja kimojakimoja.

ANGALIZO:
Malipo ya DALALI ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs. 50,000
.
(Gharama kwa Mnunuzi)

Maulizo au kwa shida yoyote inayohusu Kuuza/Kununua/Kupanga-Nyumba, Vyumba, Ofisi, Maghala nk.

Usisite kuwasiliana Nami:+255714591548
Madalali wase...... nyie kama ruba kwenye asset za wenzenu
 
Kwahiyo kukijua tu ndo gharama iwe milioni 10? uko timamu wewe? hizo milioni 100 kazitafuta yeye, kati ya yeye aliyenijulisha na mimi niliyetafuta milioni 100 nani kafanya kazi kubwa?
Mkuu akinunue yeye huyo dalali kama anafikiri pesa inatafutwa kizembezembe hivyo!
 
Muda nilioutumia kuandika Hili Tangazo humu?
Unathubutuje kudhania Muda wangu hauna thamani, Unanijuaje Mbweha wewe ?

Najua 'Value for money'?
Makalio yako hunijui usilazimishe kujua Mimi Najua nini au sijui nini,
Mimi sihitaji kujua chochote juu yako,
Wewe kujua yanayonihusu mimi itakusaidia nini?

Nawalipa nini JF?
Swali la Kipumbavu kulipokea Tangia Mwaka huu uanze.

Huo Utoto mwingine Siwezi kukujibu.

Dharau kafanyie wakwezo.
Kwenda zako muda wako ungekua na thamani hiyo ungekuwa dalali wewe, afu jiangalie mtoto wa kiume kupenda mitelemko utapoteza malinda bure, huoni hata aibu kusema hela ya udalali milioni 10, umerogwa wewe??? Yani shida zako umalizie kwa mtu anayenunua kiwanja kisa umewekwa mtu kati? mm madalali siwapendi kabisa hasa dalali uchwara kama wewe, ukute hauko registered, wala huna hiyo taaluma ya udalali, kwa mtu mwenye firm yake hawezi kuwa na tamaa za kimbweha kama zako.
 
Mkuu akinunue yeye huyo dalali kama anafikiri pesa inatafutwa kizembezembe hivyo!
Afu mtoto wa kiume anataka pesa kirahisi rahisi tu, yani from no where mtu umpe milioni kumi!!! afu anajidai eti muda aliotumia kutangaza una thamani, thamani gani hiyo ya Milioni 10? Hata Mo Dewji asingecharge pesa hiyo.
 
Nauza Kiwanja Sio Picha.
Kwahiyo unafikiri kila mtu yupo DSM Mbweni ambapo ataenda kuona? Ndio unaanza kufanya udalali? Ebu ingia instagram uone madalali wanavyofanya kazi unaweza ukajifunza kitu.
 
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi.

Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja.

Eneo: MBWENI-Maputo,
Maarufu kama Kwamasista.

Ukubwa:
Kimoja ni SQM 1227,
Kingine ni SQM 1234.

Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451.

Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya Maendeleo ya Ardhi, Nyumba na Makazi.

Eneo ni zuri na linaloendelea kwa kasi,
Likiwa na Miundo mbinu muhimu kama Barabara nzuri, Mitandao ya Umeme na Maji pia jirani.

Bei ya jumla ni Tshs.100M.
(Milioni Mia Moja) Kwa vyote viwili.

Au

Tshs.50M (Milioni Hamsini tu)
Kwa wahitaji tofauti wa kiwanja kimojakimoja.

ANGALIZO:
Malipo ya DALALI ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs. 50,000
.
(Gharama kwa Mnunuzi)

Maulizo au kwa shida yoyote inayohusu Kuuza/Kununua/Kupanga-Nyumba, Vyumba, Ofisi, Maghala nk.

Usisite kuwasiliana Nami:+255714591548
Hilo eneo kipindi cha mvua ni full mafuriko, kuna changamoto ya drainage ya maji ya mvua
 
Back
Top Bottom