Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Posho 10% kuonyeshwa 50k hapa kuna dalili. Unaonyeshwa likiwanja libovu ili. Utoe 50 maana wanajua utalikataa tuu
 
Hizo ni apartment mpya,
Nzuri na za kisasa.

Zenye vyumba 2 tu vya kulala.,
Sebule,Jiko na Choo kimoja ndani.
-Hakuna Masta.

Luku ya pekeyake,
Tiles,Gypsum,SlideW na parking vipo.

Eneo zilipo:
Mori road-Sinza.
Mita chache sana kutokea Barabara ya Lami.

Kodi Tshs.500,000/Mwezi.
Ilipwe Miezi 6,
Pamoja na Mwezi mmoja (Deposit ya Uharibifu)

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.

Piga: +255714591548.

IMG_20200820_093804.jpg
IMG_20200820_093627.jpg
IMG_20200820_093635.jpg
IMG_20200820_093642.jpg
IMG_20200820_093653.jpg
IMG_20200820_093509.jpg
 
Habari Waungwana.

Haya,
Kwa wale wahitaji wa Mashamba kwaajili ya Kilimo pamoja na Shughuli za Ufugaji.

Sasa nawaletea fursa za Mashamba YANAYOUZWA katika maeneo tajwa↓


KISIJU, Mkoa wa Pwani.,
Njia ya kuelekea Mtwara.
Unachepukia Mkuranga Mjini.

Umbali wa Kilomita 6 kutokea Barabara kubwa.
Hadi kufika Shamba ni chini ya Kilomita 100 kutokea jijini Dar es salaam.

Zipo Ekari 125 za pamoja.

Ni Shamba Pori (Sio Msitu),
-Huhitajiki kutumia nguvu nyingi sana kuliandaa kwaajili ya Kilimo/Ufugaji.

Eneo linafikika hata kwa Gari ndogo.

Jirani na shamba hili ipo Miradi kadhaa ya Uwekezaji wa Kilimo cha kisasa inayoendeshwa na Wageni pamoja na ile ya WaTanzania.

Tungependelea sana kuliuza Shamba lote kwa Mtu mmoja ikitokea.
Hatahivyo,
Baada ya tafakari tumeonelea ni vyema Tunakata vipandevipande na hivyo kuanzia Ekari 20 tutakupatia Mtanzania mwenzetu
Ili kuweza kunufaisha wahitaji wengi zaidi.

Bei Ekari @ 1 Tshs.1,500,000.
(Milioni Moja Na Nusu tu)

KISARAWE.
Mwendo wa wastani wa Dakika 20 kwa Gari kutokea Kisarawe Mjini.

Hapa zipo Ekari 20 za pamoja.
Shamba ni la-muinuko pamoja Bonde kwa upande mwingine.
Ndani ya Shamba kuna chanzo kinachotiririsha MAJI pia Chemchem kadhaa.
Hivyo panafaa sana kwa Kilimo cha Mazao yanayohitaji Umwagiliaji au yanayoendana na Hali ya umajimaji pamoja na Ufugaji wa Kisasa mifugo uipendayo hata Samaki nk.

Linahitaji usafisaji.

Gari inafika hadi Shamba.

Bei Ekari @1 Tshs.5,000,000.

VIGWAZA:
Hii ni Chalinze,
Mashamba mengi tu,
Bei inategemea umbali kutoka Barabara kuu na mazingira.
Kuanzia umbali wa Kilomita 3 kwenda mbele ni Tshs.1Milioni.

Ukubwa itategemea uhitaji wako Mteja wangu.

Pia tunayo mengine Pingo (Kabla ya Chalinze Mjini) ukitokea Dar.

USISITE PIA KUWASILIANA NAMI KWA MAHITAJI YAKO YOYOTE YA KUUZA AU KUNUNUA CHOCHOTE NA POPOTE.

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.

Piga :+255714591548.

Nawasilisha.
285240dd69a984b406a237840649900f.jpg
e6dbbfa271bd7f834bf5430fa3fcd4c5.jpg
74a84bb8c6839712eddb14cf8a39f995.jpg
2f38f60633df851d89a64a0cf6234cce.jpg
 
Endelea kulima tu dalali ,yaani kuona shamba nitoe 50000?
Ninao mpango wa kuongeza kidogo kutokana na gharama za uendeshaji kuongezeka.

Hatahivyo, ahsante kwa kuna.
 
TOYOTA PICK-UP INAUZWA DAR.

Gari haina changamoto yoyote.

Ni manual,
Ya mwaka 1998,
Diesel engine 1kd,
4wd,
2800cc,
114000km.

Bei Tshs.26Milioni tu.
IMEUZWA-IMEUZWA-IMEUZWA
IMG-20200819-WA0005.jpg

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%

Ukihitaji kuikagua nifahamishe mapema.

Piga:+255714591548.
 
The Toyota KD engine series is a diesel engine produced by Toyota which appeared in 2000. First appearing in 2000, the 1KD-FTV was the first iteration of this generation.

Swali.. gari ya mwaka 98 inakuaje na 1kd??
Pili 1kd inakuwa na cc 3000 hii yako iweje iwe na cc 2800??
 
The Toyota KD engine series is a diesel engine produced by Toyota which appeared in 2000. First appearing in 2000, the 1KD-FTV was the first iteration of this generation.

Swali.. gari ya mwaka 98 inakuaje na 1kd??
Pili 1kd inakuwa na cc 3000 hii yako iweje iwe na cc 2800??
Chief uko sahihi...japo ukiagiza hizi gari toka japan kupitia beforward au autorec....zipo zinazokuja na engine ya 1KD.

Nadhani huwa wanazifanyia modification kabla hawajizi export.
 
The Toyota KD engine series is a diesel engine produced by Toyota which appeared in 2000. First appearing in 2000, the 1KD-FTV was the first iteration of this generation.

Swali.. gari ya mwaka 98 inakuaje na 1kd??
Pili 1kd inakuwa na cc 3000 hii yako iweje iwe na cc 2800??

Mimi ni Dalali, SIO Fundi wa Magari.
Hata ukiniletea Scania ukaniambia ina Injini ya Bajaj nitatangaza hivyo hivyo.

Ingawa hatahivyo,
Mdau hapa chini kakujibu kwa usahihi nadhani.

Chief uko sahihi...japo ukiagiza hizi gari toka japan kupitia beforward au autorec....zipo zinazokuja na engine ya 1KD.

Nadhani huwa wanazifanyia modification kabla hawajizi export.
 
Habari Wadau,

TAARIFA RASMI:

Tunayo Mashamba Bora,
Ukubwa unaotofautiana,
Katika Maeneo mbali mbali Wilayani Bagamoyo,
Mkoa wa PWANI.

Ndg. Mteja wetu,
Unachotakiwa kufanya;
Tupigie:+255 714 59 15 48,
Tupe chaguo lako kati ya haya tuliyoainisha hapa chini ↓↓
Ili tufanye miadi kwaajili ya wewe kufanya ukaguzi.

ANGALIZO:
Mashamba yote:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.

MASHAMBA HUSIKA.

1:Fukayosi- Bagamoyo.
Ekari 15.
Bei Tshs.5 Milioni/Ekari.

Mita 500 tu toka kwenye Barabara ya Lami.
________________________________

2:Wami.

Ekari 600
Bei Tshs.2/Ekari.
_________________________________

Makurunge.
Ekari 100,
Njia ya sadani kilomita 2 tu toka Barabara kubwa.

Bei Tshs.3.5Milioni/Ekari.
Huduma maji Umeme zipo
_________________________________

Fukayosi.
Ekari 50 barabarani
Bei Tshs.4 Milioni/Ekari.

________________________________

Fukayosi kilomita moja Toka Barabara kubwa.
Bei Tshs.3. 5Milioni/Ekari.

________________________________

Fukayosi,
Ekari 650.
Kunahuduma Umeme wa 'Sola', Nyumba ya mfanyakazi,
Njia safi hadi site.

Bei Tshs.2.5Milioni/Ekari.

________________________________

5:Kiromo.
Ekari 70
Kilomita 4 toka kwenye Lami.
Huduna za Umeme Maji zipo.

Bei Tshs.4Milioni/Ekari.

________________________________

Tunaweza pia kukutafutia popote pengine kulingana na mahitaji yako.

Pia kwa mahitaji ya Nyumba,Ofisi,Viwanja,Migodi,Madini,Mazao/Biashara na Viungo kwa jumla.
Tunauza na kutafuta Masoko pia.

Usisite kuwasiliana nasi:
+255714591548.
 
Back
Top Bottom