Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

Kwenda zako muda wako ungekua na thamani hiyo ungekuwa dalali wewe, afu jiangalie mtoto wa kiume kupenda mitelemko utapoteza malinda bure, huoni hata aibu kusema hela ya udalali milioni 10, umerogwa wewe??? Yani shida zako umalizie kwa mtu anayenunua kiwanja kisa umewekwa mtu kati? mm madalali siwapendi kabisa hasa dalali uchwara kama wewe, ukute hauko registered, wala huna hiyo taaluma ya udalali, kwa mtu mwenye firm yake hawezi kuwa na tamaa za kimbweha kama zako.

Wewe MATAKO unajitambua Kweli?

Kuna kitu inaitwa 'Biashara Huria' unakifahamu?

Nirudie kusema ambacho huwa nawaeleza 'failures' wa Maisha kama wewe marakwamara hasa hapa JF:

-Ukiona unatumika Miguvu mingi Sana kupata 'Fwedha',
Ni kuwa Maarifa/Elimu yako katika kutafuta Pesa ni Butu, Haikusaidii.

Sasa suluhisho la tatizo lako SI kuchukia kila anaeelekea kukipigia Bao kimafanikio,
Usipoangalia utafikiria hata kuwa Mchawi.
Wivu wa Kike.
 
Afu mtoto wa kiume anataka pesa kirahisi rahisi tu, yani from no where mtu umpe milioni kumi!!! afu anajidai eti muda aliotumia kutangaza una thamani, thamani gani hiyo ya Milioni 10? Hata Mo Dewji asingecharge pesa hiyo.
Mimi nakutafuta Pesa.
Sipo kusifia Mwanaume nwenzangu Kama ufanyavyo wewe.
 
Kwahiyo unafikiri kila mtu yupo DSM Mbweni ambapo ataenda kuona? Ndio unaanza kufanya udalali? Ebu ingia instagram uone madalali wanavyofanya kazi unaweza ukajifunza kitu.

Tatizo mnakariri Sana.
Si katika kila Kazi na katika Kila sehemu basi lazima eti iende na Picha.
Haiko hivyo au angalau niseme,
Mimi sifanyi hivyo.
Mfano kwa Siasa za JF?

Nikutoe shaka najua nafanya nini na nikupongeze kwa mchango wako chanya.

Karibu:
Insta: [HASHTAG]#dalalitzee[/HASHTAG]
Facebook:[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG]
 
Sorry ndio unaanza kufanya online bizness? Penda kujifunza waliokutangulia wanafanyaje,yaani utangaze unauza kiwanja halafu kusiwe na picha? Kutokuwa na picha kunaonyesha dalili za utapeli,maana kuna watu wakishaona picha watafunguka so unaogopa kuweka,ndio dalali wa kwanza kusema picha sio muhimu kwenye kuuza.
 
Ndugu,
Una shida kwenye kuelewa au umeamua kunipotezea muda na
Unajisikia raha ninapojujibu?

Nimekuambia hivi:
Si Kila Kazi lazima Picha.
(Sijakuambia sijui umuhimu wa Picha au huwa Situmii Picha)

Najua nafanya nini.
Pia, Sijaribu kujifananisha na yoyote,
Si kwenye Udalali Tu,
Ndio Maisha yangu na nafurahia kuwa hivyo.

Hatahivyo,
Ungeng'amua kusudi la kukuandikia 'page' zangu nyingine kwa hashtag hapo juu ungeelewa namaanisha nini kusema
'Si Kila Mahala au Tangazo lazima Picha'.

Kwa taarifa yako Sifanyi Kazi ambayo sijaiona kwa macho hivyo Sio swala la Kuuliza Picha ninazo ila hapa JF sijaweka na Sina mpango huo.

Kwa faida yako mimi nakaribia kutimiza muongo mmoja katika kutumia teknolojia ya Habari kwenye Udalali wangu,
Hivyo basi nadhani kwa Vigezo vyako wewe unalo jibu kuwa ndio naanza/mgeni ama la kwenye Mtandao.

Karibu:
Insta:[HASHTAG]#dalalitzee[/HASHTAG]
FB😡dalalitz.
 
Sawa Mkuu Ngoja tukubaliane katika kutokubaliana.
 
10% ya udalali. Ina maana vikiuzwa wewe dalali unapata milion 10 za bure bure. Kuonesha tu elf 50. Kama sio tamaa ni nini? Kama ndege tu mnapenda kuvuna bila kulima.
 
Habari waungwana.

Vipo Viwanja Vinne (4) VINAUZWA Bagamoyo Mjini.

Eneo:Nia njema.

Vyote Umili ni HATI MILIKI
(Title Deed)

[Ukubwa: SQM.1422-1600.SQM.]

1. sqm.1422,
Hiki Mmiliki ana dharula anauza Tshs.20 Milioni tu.

2. sqm.1420 ambacho kina fensi chote pamoja na banda lililoishia kwenye linta,
Kinauzwa Tshs.45 Milioni.

3.sqm.1400 kinauzwa Milioni Tshs.40 Milioni-
Hiki kina fensi Pande tatu.

4.Sqm.1600 Hakina fensi -
Bei Tshs.45 Milioni.

Vyote vipo jirani na ni eneo tambarare na tulivu.

▪️Mhitaji anae maanisha nitampatia Picha WhatsApp akihitaji.

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Uonyeshwaji Tshs.50,000.

Maulizo au kwa Kazi tu Piga/WhatsApp:
+255 714 59 15 48.

Nawasilisha.
 
Mkuu pole na majukumu mimi natafuta chenye ukubwa wa sqm 540-900 kiwe siyo umbali wa km 5 kutoka round about nitatoa milioni 4- 8.
 
Mkuu pole na majukumu mimi natafuta chenye ukubwa wa sqm 540-900 kiwe siyo umbali wa km 5 kutoka round about nitatoa milioni 4- 8.
Tafadhali tuwasiliane ili tuyajenge:+255 714 59 15 48.
 
Back
Top Bottom