Habari Waungwana.
Haya,
Kwa wale wahitaji wa Mashamba kwaajili ya Kilimo pamoja na Shughuli za Ufugaji.
Sasa nawaletea fursa za Mashamba YANAYOUZWA katika maeneo tajwa↓
KISIJU, Mkoa wa Pwani.,
Njia ya kuelekea Mtwara.
Unachepukia Mkuranga Mjini.
Umbali wa Kilomita 6 kutokea Barabara kubwa.
Hadi kufika Shamba ni chini ya Kilomita 100 kutokea jijini Dar es salaam.
Zipo Ekari 125 za pamoja.
Ni Shamba Pori (Sio Msitu),
-Huhitajiki kutumia nguvu nyingi sana kuliandaa kwaajili ya Kilimo/Ufugaji.
Eneo linafikika hata kwa Gari ndogo.
Jirani na shamba hili ipo Miradi kadhaa ya Uwekezaji wa Kilimo cha kisasa inayoendeshwa na Wageni pamoja na ile ya WaTanzania.
Tungependelea sana kuliuza Shamba lote kwa Mtu mmoja ikitokea.
Hatahivyo,
Baada ya tafakari tumeonelea ni vyema Tunakata vipandevipande na hivyo kuanzia Ekari 20 tutakupatia Mtanzania mwenzetu
Ili kuweza kunufaisha wahitaji wengi zaidi.
Bei Ekari @ 1 Tshs.1,500,000.
(Milioni Moja Na Nusu tu)
KISARAWE.
Mwendo wa wastani wa Dakika 20 kwa Gari kutokea Kisarawe Mjini.
Hapa zipo Ekari 20 za pamoja.
Shamba ni la-muinuko pamoja Bonde kwa upande mwingine.
Ndani ya Shamba kuna chanzo kinachotiririsha MAJI pia Chemchem kadhaa.
Hivyo panafaa sana kwa Kilimo cha Mazao yanayohitaji Umwagiliaji au yanayoendana na Hali ya umajimaji pamoja na Ufugaji wa Kisasa mifugo uipendayo hata Samaki nk.
Linahitaji usafisaji.
Gari inafika hadi Shamba.
Bei Ekari @1 Tshs.5,000,000.
VIGWAZA:
Hii ni Chalinze,
Mashamba mengi tu,
Bei inategemea umbali kutoka Barabara kuu na mazingira.
Kuanzia umbali wa Kilomita 3 kwenda mbele ni Tshs.1Milioni.
Ukubwa itategemea uhitaji wako Mteja wangu.
Pia tunayo mengine Pingo (Kabla ya Chalinze Mjini) ukitokea Dar.
USISITE PIA KUWASILIANA NAMI KWA MAHITAJI YAKO YOYOTE YA KUUZA AU KUNUNUA CHOCHOTE NA POPOTE.
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Piga :+255714591548.
Nawasilisha.