Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Pumbavu wewe kamuuzie Magufuli wako!
 
Mawasiliano : 0693084522

Viwanja vipo saba kila kimoja kinaukubwa wa mita za mraba 800 na vimepimwa documents pia zipo.
Kila kiwanja nakiuza milioni sita tu.

Viwanja hivi vipo iyumbu mtaa wa UDOM, eneo limejengeka sana na huduma za kijamii kama maji na umeme vipo karibu,
Mazungumzo juu ya bei hapana.

 
Mkuu naona uko informed hivi hiyo barabara inapitia karibu na chuo cha Mipango na kutokea Nane nane ama hii ni nyingine. Maana maeneo hayo karibu na Kanisa la Walokole (Mwisho wa Lami ) wameweka alama za uthamini lakini kwa sasa wamepotea kabisa. Kama ni hiyo naomba nijuze
 
Upande huo wa huko mipango siyo yenyewe, yenyewe inapitia veyula, mtumba, kikombo, chamwino, matumbulu, udom, ng'ong'ona, nala. Yaani kifupi inazunguka mji mzima wa dodoma
 
Ukubwa wa viwanja SQM 700,

Viwanja vipo KM 12 kutokea mjini. Viwanja vina huduma ya maji karibu kabisa ila umeme haujafika hapo japo haupo mbali pia.

Viwanja ni vya kwanza kutokea barabara inayoelekea Mapinduzi na vipo sehemu ambayo ni tambarare kabisa.

Wasiliana kwa namba za simu zifuatazo;
0693084522 kumbuka kila kiwanja bei yake ni Milioni tatu na nusu tu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…