tajiridalali
Member
- Sep 17, 2018
- 52
- 11
- Thread starter
-
- #41
Hiyo Ni njia ya kwenda udom ?Ukubwa wa kiwanja SQM 600
Kipo Miganga north block C
Bei yake Milioni 7 tu
Miganga ipo karibu kabisa na Chidachi ilipo shule ya St. Marry, kiwanja kipo sehemu iliyojengeka vizuri na huduma za kijamii kama maji na umeme vipo karibu.
Umbali kutokea kilipo kituo cha police Dodoma ni KM 6.7 tu.
Mawasiliano ya simu 0693084522
View attachment 1624683
Hapana kwenye kikuyuHiyo Ni njia ya kwenda udom ?
Unaelewa maana ya mjini?Duh,,Dodoma bado kuna vichaka mjini?..!!!
Yaani viwanja bei milioni 50? Mbona bei kubwa sana mzee?Punguza hiyo beiMawasiliano: 0693084522
Viwanja vipo umbali wa KM 12 Kutokea bungeni....
Bei milioni tatu na nusu kila kimoja jamantangazo limeisha? au kuna muendelezo? ila unauza bei mbaya, kwanini?
Nilisahau kuandika bei ni milion tatu na nusu tu kiongoziYaani viwanja bei milioni 50? Mbona bei kubwa sana mzee?Punguza hiyo bei
safi sana, sasa ngoja tutafakari na kujadiliana. malipo kwa installment yanakubalika? na kama ukitaka viwili inawezekana?Bei milioni tatu na nusu kila kimoja jaman
Installment inakubalika kwa awamu mbili, na ukitaka viwili ni sawa, karibusafi sana, sasa ngoja tutafakari na kujadiliana. malipo kwa installment yanakubalika? na kama ukitaka viwili inawezekana?
sasa awamu mbili ndani ya miezi mingapi? na kama ungeweka ramani ili watu waitathminiInstallment inakubalika kwa awamu mbili, na ukitaka viwili ni sawa, karibu
Asante Sana Kwa TaarifaHivo viwanja si ndo vyenye mgogoro na Manispaa? Si ndo wenye eneo wameingizwa chaka?
Ngoja niishie hapa
Vya kuambiwa changanya na zako we ungenunua tu utakayo ya kuta utapambania tu.Hahaaaa mwaka jana nilitaka kununua pande zile work mate makao alinitonya
Hapana mkuu we nunua tu,, litalotokea utapambania tu ila ukae chonjo.Asante Sana Kwa Taarifa
Miezi minne mkuu, ramani ipo kwenye picha juu Tazamasasa awamu mbili ndani ya miezi mingapi? na kama ungeweka ramani ili watu waitathmini