Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

Mmewalipa wenye mashamba yao au mnapima tu na kutangaza kuuza viwanja?

Hayo maeneo kesi zake zinataka kufanana na za Bagamoyo Mapinga.
Tunakupa nafasi ya kupaona physically lakin kabla ya kununua utadhibitisha mwenyew...so ondoa hofu kabisa..
 
Kweli mito inatanuka sana!!!!Kuna mto upo kati ya msewe na chuo kikuuu zamani haukuwa hivi ulivyo kipindi Niko ndogo nasoma
Hii inatokana na ujenzi holela huko juu..wanaelekeza maji yote mtoni
 
Yaa huu ndo uwekezaji vijana wadogo wanatakiwa kufanya mapema hata kwa kugongea mshiko kwa wazazi wao badala ya kuwaza tu simu za macho matatu.
Na vijana wengi mjini daslaamu wanazipata sana hiz million 2 3 hadi tano..

Lakin wanaishia kununua buckets kidimbwi..

Just imagine viwanja 2 million
 
Mnaojenga Kigamboni, miaka ishiri ijayo mtalia.
Kigamboni ni tambarare, ardhi ikisha jaa nyumba, maji yakashindwa kuzama ardhini, sasa dhahama ya mafuriko ndio itawakumba.
Fuateni agizo la waziri wa ardhi. Safety ya Kigamboni iko kwenye kumilikisha wakazi viwanja vya low density.
Pia kwa sasa wizara iangalie uwezekano wa kupiga marufuku nyumba za Dar kuwekewa paving blocks.
Paving blocks zinablock maji ya mvua yasizame ardhini hivyo kusababisha mafuriko ya mara kwa mara Dar.
Kama mtu anaweka paving, basi asiweke eneo linalozidi 30sq meter kwa ajili ya maegesho ya gari. Eneo linalobaki lipandwe nyasi.
Huu utafiti umeufanyia wapi mkuu? Na lini?

Sehemu yeyote yenye ya mchanga ni ngumu sn kuwa na mafuriko maana maji yanazama chini mojakwa moja mvua inaponyesha. Ningekuelewa point yako km ardhi ya kigamboni na eneo la wilaya ya mkuranga ingekuwa ya mfinyanzi maana maji hayaingii chini( hutuama baada ya mvua kunyesha)

Kuna kitu labda unatakiwa ujue;kigamboni ni moja Kati ya miji mikongwe dsm.hata Baba wa taifa alishawahi kukimbizwa kigamboni kujificha alipotaka kupinduliwa. Enzi hizo..

Yaani to make the story short namaanisha hivi;kingamboni zipo shemu za uswahilini km keko nyingi Tu,achana na miji mipya ya kisasa iliyopangiwa km kibada.Sehemu za uswahilini Kama Tungi haizjawahi kuwa na mafuriko miaka na miaka (ingawa madimbwi yanakuwepo baada ya mvua maana ni sehemu isiyopagiliwa haina mitaro)..Kama upo ktk utafiti bado maeneo Tungi hadi ferry na mikadi beach na Geza ulole ambayo yameshajaa tangu miaka ya 80s na almost ni km slum yafanye hayo kuwa benchmark yako
 
50+

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Kama ni umbali huo unanunuwa shamba siyo kiwanja.

Ukuwaji wa mji wa Kigamboni ulihujumiwa na Magufuli alichukizwa na miradi iliyokuwa inaendelea Kigamboni.

Angalia hata Avic town GSM kaigeuza kuwa kambi ya Yanga malengo ya mradi yamebuma serikali kuhamia Dodoma.

Kama unawaandalia watoto urithi wa ardhi basi unaweza kununuwa huko ukajenga mapagala ya kulinda kiwanja kisiuzwe tena na wajanja maana viwanja kama hivyo ukinunuwa huwa kama wanakuroga ukienda mara mbili huendi tena unaishia kusema tu kwa washkaji nina kiwanja buyuni kumbe mmeshauziwa watu watatu, siku ukirudi unaweza kukuta nyumba na mtu ana hati kabisa.
 
Sisi viwanja vyetu ni mradi...na tuna database ya viwanja vyote vilivyouzwa...

Ramani pia zipo na tumepima viwanja wenyew..
Sasa mtu akimuuzia mwingine hiyo itakuwa ajabu kwa muuzaji na aliyeuziwa
IMG-20220710-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom