mbona mapori mengi sana mkuu unaishi wapi?Sijui kama naliona vibaya jambo hili. Kila mahali mahitaji ya viwanja vya makazi yanongezeka kwa kadi hasa kwa sababu ya idadi ya watu kuongezeka. Mahala palipokuwa mashamba katika Majiji, miji, Wilaya, vijiji na vitongoji leo ni makazi, viwanda shule, vyuo nk. Miaka kama 50 ijayo sijui hali ya chakula itakuwaje kama hayatatengwa maeneo ya Kilimo cha kimkakati.
Sawa mkuu. Subiri tu utaona. Kuna mkoa 100 kilometers toka mjini, wanakodisha mahala pa kulima, sababu ni hizo hizo, maeneo ama yamejengwa au yameuzwa.Kuna vijiji mpaka leo ukiwa mwanakijiji unapewa shamba la kijiji kwa lazima na ni lazima ulime, usipolima unashtakiwa.
Tanzania tuna shida zingine siyo ardhi, wenye shida ya ardhi ni Wakenya.