Viwanja vya makazi vinaongezeka ila mashamba yanapungua

mbona mapori mengi sana mkuu unaishi wapi?
 
Kuna vijiji mpaka leo ukiwa mwanakijiji unapewa shamba la kijiji kwa lazima na ni lazima ulime, usipolima unashtakiwa.

Tanzania tuna shida zingine siyo ardhi, wenye shida ya ardhi ni Wakenya.
Sawa mkuu. Subiri tu utaona. Kuna mkoa 100 kilometers toka mjini, wanakodisha mahala pa kulima, sababu ni hizo hizo, maeneo ama yamejengwa au yameuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…