Pre GE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ni mtu wa kuwa naye makini kwani kilichomtoa chadema ni madaraka tu na SI hayo anayoyasema.
 
Msigwa yule mwenye akili ndogo au yupi?
 
Kuna vichwa nguli wamekaa kimyaa kama hawapo wanawachora tu na hekaheka zenu hizo na T-shirt za mama samia hizo 😂 kikilia tu tusuu!!! Ndio mtaelewa kumbe hamuelewi
 
Ni kweli chadema wamwpoteza muelekeo!wameacha ajenda muhimu wanataka ubunge ili wapate ruzuku!!

Lakini Msigwa anapaswa aje na fikra mbadala za maendeleo coz kuwananga upinzani hakuleti chakula mezani wala kuongeza ajira kwa graduates!!

Aje na fikra mbadala zenye tija kwa taifa!
 
Aizikaje kwa mfano!! Ni mjinga peke atamwamini Msigwa. Angekuwa Mbeya au Tarime huo ujinga ungejibiwa kwa mawe na kuzomewa, wale hawajazoea kuishi na wanafiki.
Jitu limebebwa na Chadema mpaka likapata umaarufu, eti leo Chadema mbaya, eti Mbowe alituma watu kunitoa TLP,, Sasa yeye ndio alikuwa most genius TLP!! Huyu ni mchumia tumbo tu, kama alichagua upinzani na ACT nayo ni mbaya!!! Okay ni mbaya kwa nini asianzishe chama chake? Yeye awe awe Rais Upendo makamu!! Maopportunists mtawaona sana kipindi hiki. Huyu alikuwa na connection na Magu, na Magu hakumtaka alimjua siyo mtu wa kumwamini, eti Magu alinifuata atanipa uwaziri,Sasa kwa akili za huyu angechukua wizara ipi??? Alimtuhumu Kinana anamaliza tembo wetu bàadaye akamuomba radhi,. Unampa wizara huyu mchonganishi!;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…