johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Alirudi Mfumo wa Vyama Vingi ulipoanzaKambons yupi huyo? Mbona tumjuae aliondoka wakati wa ubepari nchi inapendeza kwa mabasi ya ghorofa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alirudi Mfumo wa Vyama Vingi ulipoanzaKambons yupi huyo? Mbona tumjuae aliondoka wakati wa ubepari nchi inapendeza kwa mabasi ya ghorofa.
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.
Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali vya habari vya Kitaifa na Kimataifa kwani hata BBC wameonekana.
Sabato Njema 😄
Mchungaji ameanza kwa kukabidhi baadhi ya kadi za Wanachama wa CHADEMA waliohamia CCM ambao pia wamepanda Jukwaani na kupewa mavazi ya CCM.
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.
Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali vya habari vya Kitaifa na Kimataifa kwani hata BBC wameonekana.
Sabato Njema 😄
Mchungaji ameanza kwa kukabidhi kadi 15 za Wanachama wa CHADEMA waliohamia CCM ambao pia wamepanda Jukwaani na kupewa mavazi ya CCM.
Sehemu ya Hotuba ya Mchungaji Msigwa
Nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyekiti wa Chama na Halmashauri Kuu ya Taifa kwa kunipokea niwe Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi. Pia nawashukuru viongozi wote wa Mkoa na Wilaya kunikaribisha kuwa miongoni mwenu.
Kwakuwa muda umeenda naomba niwashukuru wale wote walionisemea vizuri kwenye Jukwaa hili.
Nianze kwa kusema uamuzi wangu wa kuhama CHADEMA, chama ambacho nimekitumikia zaidi ya miaka 18 haukuwa rahisi, ulikuwa ni mgumu lakini ni uamuzi sahihi. Uamuzi huu umezaa makundi matatu:
1. Wako ambao wamefurahi wamenishangilia na wamenitumia mseji za kunipongeza nawashukuru sana.2. Wapo ambao wamechukia wamenitukana na wamenitumia meseji za matusi ninawashukuru sana.3. Wapo ambao wapo confusedNina matumaini nitakapomaliza kuzungumza hapa wale waliofurahi watafurahi zaidi na yamkini wale walionichukia na kunitukana watanielewa na natumai wale walio confused watapata majibu wataamua wanichukie au waniunge mkono. Kwahiyo kwakuwa wote ni Watanzania na wote tunajenga nyumba moja ninaamini mtanisikiliza vizuri lakini naomba muelewe ni Msigwa yuleyule mwenye akili ileile. Sijaruka mental nimeyachukua maaamuzi haya baada ya tafakuri ya kina.
CCM wanapenda sana siasa za hadaaCCM ndiyo wamemkusanyia watu wamesombwa toka vijiji ili ionekane ni wanachadema wamemfuata huyu mbilikimo.
Msigwa ametimkia ccm, Lissu ametimka kwenda nchini kwake 🇺🇸, ungangari uko wapi sasa?CHADEMA kiko ngangari.✌️
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.
Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali vya habari vya Kitaifa na Kimataifa kwani hata BBC wameonekana.
Sabato Njema 😄
Mchungaji ameanza kwa kukabidhi kadi 15 za Wanachama wa CHADEMA waliohamia CCM ambao pia wamepanda Jukwaani na kupewa mavazi ya CCM.
Sehemu ya Hotuba ya Mchungaji Msigwa
Nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyekiti wa Chama na Halmashauri Kuu ya Taifa kwa kunipokea niwe Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi. Pia nawashukuru viongozi wote wa Mkoa na Wilaya kunikaribisha kuwa miongoni mwenu.
Kwakuwa muda umeenda naomba niwashukuru wale wote walionisemea vizuri kwenye Jukwaa hili.
Nianze kwa kusema uamuzi wangu wa kuhama CHADEMA, chama ambacho nimekitumikia zaidi ya miaka 18 haukuwa rahisi, ulikuwa ni mgumu lakini ni uamuzi sahihi. Uamuzi huu umezaa makundi matatu:
1. Wako ambao wamefurahi wamenishangilia na wamenitumia mseji za kunipongeza nawashukuru sana.2. Wapo ambao wamechukia wamenitukana na wamenitumia meseji za matusi ninawashukuru sana.3. Wapo ambao wapo confusedNina matumaini nitakapomaliza kuzungumza hapa wale waliofurahi watafurahi zaidi na yamkini wale walionichukia na kunitukana watanielewa na natumai wale walio confused watapata majibu wataamua wanichukie au waniunge mkono. Kwahiyo kwakuwa wote ni Watanzania na wote tunajenga nyumba moja ninaamini mtanisikiliza vizuri lakini naomba muelewe ni Msigwa yuleyule mwenye akili ileile. Sijaruka mental nimeyachukua maaamuzi haya baada ya tafakuri ya kina.
Wakati ule nimetoka TLP wengi mliniunga mkono, lakini CHADEMA kiliaminisha vijana wakati ule nilikuwa fresh nikiwa nimetoka Afrika Kusini. Kiliaminisha vijana wengi wakati ule walikuwepo wakina Zitto, Halima Mdee waliaminisha kuwa chama hiki ni chama chenye misingi ya haki, uhuru, demokrasia na maendeleo na muda mwingi walionesha udhaifu wa CCM. Vijana wengi walishawishiwa wakajiunga na chama
Lissu ameenda kimatibabu.Msigwa ametimkia ccm, Lissu ametimka kwenda nchini kwake 🇺🇸, ungangari uko wapi sasa?

Kuna tetesi kuwa akirudi na yeye anaenda kuunga mkono juhudi za mama za kuifungua nchi.Lissu ameenda kimatibabu.
Komaa kamanda.CHADEMA kiko ngangari.✌️