Ndani kabisa kwenye mioyo ya wanaCCM wanaoambatana na Petero,imejaa uchungu mwingi.Ni kinyume kabisa na sura zao zinavyoonesha kwa nje.Ni kiasi cha kuwatazama kwa umakini tu.
Si ilikuwa 20.07.2024...Mbona kimya?
Mwenye taarifa basi...Palikuwa na bandiko humu kwamba watatikisa Mji wa Iringa na viunga vyake,vikubwa vikubwa na vile vidogo vidogo.
Hao walioko kwa mbali barabarani wanashangaa ni wawapi na hao wanao cheza ni wa wapi? Nimemusikia Msigwa akisema_ kwa kuwa muda umeenda_...Kwani alianzia wapi?