Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Hii inaonesha wazi kuwa watanzania hatuwezi kumiliki biashara na zikadumu!

Succession plans za hovyo.

1) Warithi wanaoachiwa mali badala ya kuzihesabu Kama mtaji wao wanazihesabu Kama zawadi zao za ku’spend.

2) Wanaotegemewa kushika usukani hawaandaliwi kwa kuzingatia uhalisia na mazingira.

3) Ubinafsi wa kutisha kati yao wote, mrithi na mrithiwa.

4) Ndugu kuendelea kuwa tegemezi kwa ndugu mwenye mali na kujihesabia haki kwenye mali zilizoachwa na mchumaji bila kujua njia wala mbinu zilizotumika kuzichuma.

Tujitahidi kuwashirikisha wategemezi wetu katika utafutaji wa mali watakazorithi na kuhakikisha wanatambua misingi na mbinu za utafutaji.

Tujitahidi kudhamiria muendelezo wa kudumu vizazi na vizazi katika biashara, utafutaji na “legacy za family/koo zetu.

Hasiejua atokako, hawezi kutambua aendako.

Lakini pia, Nothing lasts Forever.
 
Mtena A na B

Jelly's kabla haijawa shule

Rock Beach

Tilapia

Capri Cabana

Vijana Social

Shethembaa

Mwanza moja hiyo


Blue Rose Inn kilipokuwa kituo cha mwisho hapo Buguruni kutokea Msasani na Kawe

Chawote
Lango la jiji
The Great
4040

Kwa Sia(sisi tuliokulia Mbezi beach)
 
Ungefanywa kitoweo ...
 
Pole kwa msongo wa mawazo.. Umenikumbusha kisa kimoja, nlisafiri kwenda nchi za asia ya kusini, ebwana wee siku moja si nkaenda salon, nkawa nanyolewa na mhindi mmoja wa kiume, nami ni me ofcourse, sasa jamaa wakati ananinyoa akaanza kushika dudu langu, duuuh niliduwaa , hasira si hasira, nkawa nawaza huyu jamaa vipi? basi nkamsukumia mkono wake kule kisha nkamuambia 'finish please' i wanna go ... mpaka leo namchukia sana yule jamaa
 
😂😂😂😂😂😂😂
Kwa nza nianze kwa kumpongeza Mama samia!
Pili niseme we jamaa kamba zako ni hatari sana
 
Umesahau swala la kuanzisha biashara kwa kufata mkumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…