Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Kwa Macheni Magomeni..
Umenikumbusha mbali sana😂😂😂😂. Aisee hapo Kwa macheni nilikuaga napasikia. Sasa wakati nabukua muhimbili nikawa Kwa swaiba wangu kimara temboni tunapombeka ilipofika saa moja ikabidi nijirudishe Chuo. Nikiwa kwenye daladala na pombe zangu akili ikanijia kunasehemu inaitwa Kwa macheni shuka hapo uangalie totozi. Ebwanaeeee nikadrop pale nikaingia nikaagiza kilimanjaro moja. Kilichonishangaza naona kidume kinanikonyeza, aisee wakati najitafakari hv jamaa alikuwa ananikonyeza Mimi au mwingine ghafla naona bia ya nyongeza naletewa nahoji mbona sijaagiza nyingine naambiwa yule mkaka kakununulia. Ilibidi nijikatae mapema na ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kufika Kwa macheni
 
Sasa hao walikua wanakufanyia hivyo, wewe ulihosi ni nani, Wanaume kama wanaume, au Wanaume kama majike? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom