Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Sasa hao walikua wanakufanyia hivyo, wewe ulihosi ni nani, Wanaume kama wanaume, au Wanaume kama majike? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Sikutaka hata kujua ni upande Gani coz hata hao wa upande wa kike siwakubali abadani. Nilishtuka Sana kiukweli. Tatizo sio Ile bia tatizo kukonyezwa alafu Kila nikiangalia pembeni sioni mtu zaidi yangu ikimaanisha Mimi ndio nimekonyezwa.
 
Macheni bar Magomeni

Noma sana hiyo kiwanja

Catalunya Bar Mlimani
Meridian, vijana,uhuru camp,lango la jiji,kiria bar supu vichwa mbuzi migo,
Kwa Macheni nilikua member kabisa amana kuna bar hatari
Romana bar napakumbuka
Kuna nyuma buguruni europa pub ,lambo bar manzese pale Sinza zimejaa mpk basi,ambiance ,j bar, mtaa wote shekilango.
Mungu saidie tuko hai mpk leo
 
Back
Top Bottom