Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

kweli kabisa kwa macheni ni level za Lang'ata,lango la Jiji,Bahama Mama, Vijana social Hall,Makondeko by six,Gogo hotel na kizota inn
 
We kweli ni mwehu.
 
Hiyo namba moja ndiyo 99% ya Watangazaji wa ITV, Radio One na Capital FM wanaongoza kwenda Kugongea / Kuomba Chakula cha bure au cha Kukopa

Na Mmoja akibahatika kununua tu Chakula chake basi Kitadowewa na Wenzake wote walioko huku Wengine kwa Kutokushiba Kwao wakilamba kwa Miulimi yao Sahani kwa Kugombaniana hadi Sahani inaanza kutoa Machozi kwa Kuvutwavutwa na kila Mtu ili ilambwe Masalia yaliyobakia.

Namba 8 sina hamu nayo kwani Niliokota Goma mwaka 2014 likataka nikiwa Namshindilia kulikohalalishwa na Vitabu vya Dini hasi pia niwe nakumbuka pia na Kumshindilia kule Kusikotakiwa kabisa na Kulaanika.
 
1. Silent Inn - sam nujoma..hata brenda fassie alifanyia perfomance.
2. Makondeko inn - kimara.
3. Ukanda wa Gaza - sinza makaburini.
4. Vatican City hotel - uzuri sinza
5. Maisha Club - Morogoro store masaki
6. Lang'ata - kinondoni makaburini
7. Ambasador hotel( kwa sasa jengo la airtel) pale morocco kinondoni - kila weekend hukuwakosa wana njenje.
8. Urafiki social hall - maeneo ya urafiki
9. Tip top bar - manzese( hukumkosa dr Lemmy na super matimila kila weekend
10. Highway night park - magomeni mapipa.
11. Lango la jiji - magomeni kondoa.
 
Popoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Njatanjata
Yes, walivuna waimbaji Wengi toka Vijana jazz, kama Eddy Shergy, na wadogo zake, Madaraka Moris, mpiga kinanda maarufu, Sliverdoo, maarufu fadher Kidevu.
walitamba na nyimbo zao nyingi kama.
Yedy
Penzi La kusuasua
Anitha
Penzi la ulaghai
Shakaza
Kayumba
Keti
Nalila masumanda
Kulala sebuleni
Watoto wamekuja juu.
Yaliyopita si ndwele
Julie
Na nyingine nyingi pia baadae wanamziki wengine walihama kwenda kuanzisha band ya
MCA International, na kusabisha kifo cha Washirika Band.
 
Namba 1,2 na 3 daaaah zimemaliza sana shilingi zangu...namba 9 sikuwa wa kiivile sana ila mara moja moja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…