hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Acha uongo majina mazuri yapo tu Tena mengi sana , Majina yote duniani Kuna mabaya na mazuriNani anapenda majina ya kwetu ya hovyo hovyo , ambayo hayana ubunifu wowote zaidi ya kuwaza uchawi , pesa za majini , chuma ulete, maombi ya kukanyaga mafuta 24hrs?
Kuna mchezaji Ulaya alikuwa anaitwa drinking water so Hilo jina Lina uzuri Gani !??
Majina mazuri ya kiswahili yapo kama TUNU BAHATI WEMA PENDO etc