Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

BB_DANGOTE

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2023
Posts
388
Reaction score
561
Habari

Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,

Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,

Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
 
Niko na rafiki yangu hapa tunakumbushana majina ya asili ya makabila ya watanzania yanayopotea kwa kasi ya ajabu miaka hii hatuyasikii sana.
Mwaka Jana nilienda Kijijini Kwetu nikakuta na Wenyewe wameanza kurithi baadhi ya tamaduni za Watu wa mjini ambazo Watu wa mjini wanapewa na wazungu,

Hii ni Tatizo Sana hasa Kwa vizazi vinavyo kuja
 
Kwangu mimi hapana,jina nililozaliwa nalo ndilo takufa nalo,hata humu jf natumia jina langu la asili na halisi. Tukuulize wewe mleta mada hilo jina sio la wazungu? @Bb dangote
 
Back
Top Bottom