Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

Me hapo sioni tatizo, mbona Kuna wachezaji wa kizungu wanaitwa drinkwater?

Dini za kuja na meli zinatuhubiria eti Kuna mapepo yataambatana na jina lako.

Mtu akiitwa mateso, mtasema maisha yake yatakuwa ya mateso. Kwanini usiseme atakuwa mvumilivu bila kutetereka pale atakapo kumbana na mateso au majaribu, kama vile Yesu alivyo vumilia mateso Hadi kufa msalabani??

Kwanini sisi tunatafuta maana mbayambaya tu??
Mkuu ebu we zaa mtoto umuite mateso, shida, matatizo uone kama yanaleta amani!
 
U

Zama zinabadilika na technology inakua kwa kasi sana acha twende nayo tu
Na ndio maana sisi hatuna na Wala hatufikirii kuwa na Dhama au technology yetu, licha ya kuwa na rasilimali kibao.

Tunahangaika kupocy culture zao, lugha zao, majina Yao, lifestyle zao, nk. Sisi vya kwetu atavienzi nani??

Dhama na technology kubadika hakuna uhusiano wowote na majina.
 
Habari

Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,

Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,

Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
Kwa nini umeweka kizungu tu je kiarabu hauna shida nayo ? Tanzania unamkuta raia anaitwa omary rajab hussein ...au John look livingstone hawa siyo watanzania kamili hapa ndiyo mtagundua faida za kuwa na daraja za uraia ...watu wenye majina ya hivi hata wakiwa raia wanatakiwa kuwa na uraia wa daraja C siyo daraja A yani wasiruhusiwe hata kushiriki siasa au kuwa wana siasa kabisa ila wapige kura tu wala kuwa wafadhili wa siasa (hili la ufadhili wa siasa ni hatari sana kwa taifa) kina Rostam azizi walijipenyeza hapo.
 
Na ndio maana sisi hatuna na Wala hatufikirii kuwa na Dhama au technology yetu, licha ya kuwa na rasilimali kibao.

Tunahangaika kupocy culture zao, lugha zao, majina Yao, lifestyle zao, nk. Sisi vya kwetu atavienzi nani??

Dhama na technology kubadika hakuna uhusiano wowote na majina.
Antonie van Leeuwenhoek, huyu aligundua vifaa ya microorganisms, binafsi bila ufadhili wa serikali wala mkakati wowote ni mambo yake tu binafsi ,na mpaka leo ni baba wa microbiology, hivyo kuliko kulaumu jifungie tu ndani uje na technology kabambe utavunja cycle mbaya ya utegemezi kwetu
 
Kimsingi sio majina tu. Tunatakiwa mpaka lugha yetu ya kiswahili ndiyo iwe lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.

Yani ukiingia Google ukisachi lugha namba Moja Africa utaambiwa kiswahili, lakini jitu jeusi linakomaa kukidogosha kiswahili
Sahihi Kabisa

Tuchuje na Mambo ya Kuwafundisha Watoto wetu Sio Kila kilicho letwa na Elimu ya Kikoloni ni Cha kufundisha watoto wetu
 
Vitoto vinazaliwa vinaitwa warda, fat-hia, wahid, salha, zulfa utadhani ni viarabu, vingine utadhani ni vizungu vinaitwa cindy, candy, nancy catherime, george, margareth, wanaona kuita watoto wao majina ya asili ni ushamba
 
Minne wapi na juzi nilikua naandikisha watu kwa jambo flan majina yote watu 15 ni john julius, prisca hamberg, josephat peter, cjui anold sanjez had ikawa kero tukawaacha watafute majina ya familia kwanza. Tulirid kesho yake ndo wakaleta aki mambraga wamtoko cjui twilenda na mengine meng ya ajabu
 
Back
Top Bottom