Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

Habari

Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,

Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,

Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.

Dunia itakua ishakua kijiji kimoja hamna cha uafrica, uzungu, ukristo, ukabila na mengine yafananayo, sio majina tu! Tena sio vizazi vinne ni miaka 50 tu ijayo!
 
Dini ndio zimetuletea hizi propaganda Waislam pia kabla ya hizi dini Afrika hakukua na kina abdallah.
kuna dhehebu kubwa unapobatizwa lazima uchague jina la mtakatifu fulani ndio ubatizwe, ndio maana kuna watanzania wana majina mawili, la nyumbani na la ubatizo. Hili la ubatizo ndio linalotumika shuleni na ndio litakuwa jina la kiofisi kwa kuwa lipo kwenye vyeti vyako na linatambuliwa na kufahamika ila la nyumbani halitafahamika na kutambuliwa ofisini, wanaolijua ni ndugu zako tu. Kuna madhehebu wao wanabatiza kwa jina hilo hilo walilokukuta nalo ukiitwa na kufahamika hivyo. Yapo makabila baadhi ya majina yake hayaandikiki na kutamkwa vema kwa kiswahili na kupelekea mgeni asiyejua lugha ya kienyeji mwalimu wa shule kumrudisha nyumbani mwanafunzi aje na jina jipya la ubatizo/kidini
 
Sahihi Kwa Upande fulani,

Lakini katika Ufahamu nimesha ukataa ni huo wa kuaminishwa wazungu watakatifu,

Pia Kuna namna (manipulation)Jina Lolote la kilugha linaweza kuandikwa kiswahili Kama likifanyiwa unyambulishaji
 
Haya majina ya kienyeji ni kama mateso zamani ulikua unapewa jina kulingana na hali ya nyumbani embu fikiri mtu anaitwa SHIDA
Me hapo sioni tatizo, mbona Kuna wachezaji wa kizungu wanaitwa drinkwater?

Dini za kuja na meli zinatuhubiria eti Kuna mapepo yataambatana na jina lako.

Mtu akiitwa mateso, mtasema maisha yake yatakuwa ya mateso. Kwanini usiseme atakuwa mvumilivu bila kutetereka pale atakapo kumbana na mateso au majaribu, kama vile Yesu alivyo vumilia mateso Hadi kufa msalabani??

Kwanini sisi tunatafuta maana mbayambaya tu??
 
Sahihi Kwa Upande fulani,

Lakini katika Ufahamu nimesha ukataa ni huo wa kuaminishwa wazungu watakatifu,

Pia Kuna namna (manipulation)Jina Lolote la kilugha linaweza kuandikwa kiswahili Kama likifanyiwa unyambulishaji
Kwa kipindi hiki majina yanatoka kwenye movie jomba , hasa majina ya kilatini
 
Me hapo sioni tatizo, mbona Kuna wachezaji wa kizungu wanaitwa drinkwater?

Dini za kuja na meli zinatuhubiria eti Kuna mapepo yataambatana na jina lako.

Mtu akiitwa mateso, mtasema maisha yake yatakuwa ya mateso. Kwanini usiseme atakuwa mvumilivu bila kutetereka pale atakapo kumbana na mateso au majaribu, kama vile Yesu alivyo vumilia mateso Hadi kufa msalabani??

Kwanini sisi tunatafuta maana mbayambaya tu??
U

Zama zinabadilika na technology inakua kwa kasi sana acha twende nayo tu
 
kuna dhehebu kubwa unapobatizwa lazima uchague jina la mtakatifu fulani ndio ubatizwe, ndio maana kuna watanzania wana majina mawili, la nyumbani na la ubatizo. Hili la ubatizo ndio linalotumika shuleni na ndio litakuwa jina la kiofisi kwa kuwa lipo kwenye vyeti vyako na linatambuliwa na kufahamika ila la nyumbani halitafahamika na kutambuliwa ofisini, wanaolijua ni ndugu zako tu. Kuna madhehebu wao wanabatiza kwa jina hilo hilo walilokukuta nalo ukiitwa na kufahamika hivyo. Yapo makabila baadhi ya majina yake hayaandikiki na kutamkwa vema kwa kiswahili na kupelekea mgeni asiyejua lugha ya kienyeji mwalimu wa shule kumrudisha nyumbani mwanafunzi aje na jina jipya la ubatizo/kidini
Nakumbuka wakati tupo chuo. Kuna Padre alikuwa akituhamasisha kutumia majina ya asili hata kwa ubatizo. Hata kama dini tumeletewa, hatupaswi kukataa Kila kitu Cha kwetu
 
Back
Top Bottom