Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

Habari

Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,

Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,

Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
-John Joseph
-Martin Andrew
-Abdallah Hussein
-Said Suleiman
-Beatrice Lawrence
-Rose Michael
-Zaynab Abdulkadir
-Mariam Muhammad

Yote haya hayakuwepo yameletwa na walowezi na wafanyabiashara waliokuja kununua watumwa, dini zikawapumbaza watu sasa hivi wanayaona ni majina ya maana sana(kila mtu kutokana na imani aliyolishwa) na kuona wale wa imani tofauti na yake kama wamekengeuka.
 
Wahaya wamejitahidi kulinda majina Yao ya asili, tofauti na makabila mengine especially majina ya ukoo.
 
Majina yenye asili ya kwetu ni yapi au ni haya ya Adabu, Tabu, Vumilia, Sikujua, Majaliwa, Mapinduzi
 
Labda Wakristo
haya madai ya mtoa mada yanaenda mbali sana mkuu, labda uwe unaitwa ngengemkeni ndo unaweza kua flexible kwenye mada hii ya mtoa mada

-John Joseph
-Martin Andrew
-Abdallah Hussein
-Said Suleiman
-Beatrice Lawrence
-Rose Michael
-Zaynab Abdulkadir
-Mariam Muhammad

Yote haya hayakuwepo yameletwa na walowezi na wafanyabiashara waliokuja kununua watumwa, dini zikawapumbaza watu sasa hivi wanayaona ni majina ya maana sana(kila mtu kutokana na imani aliyolishwa) na kuona wale wa imani tofauti na yake kama wamekengeuka.

hatari sana zaynab ukimuita zainabu ni ugomvi mkubwa sana sikuhizi, samson ukimuita samsoni ni vita
 
Kuna raia mmoja wa Tanzani mzanzibari aliitwa Pereira, tena alikuwa waziri wa JMT huyu baba, alikuwa na jina la kireno
 
Habari

Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea,

Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John,

Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
Hakuna namna mkuu. Haya ndiyo madhara ya globalization. Ngoja tumezwe.
 
Back
Top Bottom