Acha uongo majina mazuri yapo tu Tena mengi sana , Majina yote duniani Kuna mabaya na mazuriNani anapenda majina ya kwetu ya hovyo hovyo , ambayo hayana ubunifu wowote zaidi ya kuwaza uchawi , pesa za majini , chuma ulete, maombi ya kukanyaga mafuta 24hrs?
Mwanangu anaitwa kuringe..
wa kike anaitwa mkabesa/mbora/shilingi,
Sijasema ni mabaya , ila wamiliki wa haya majina hawana cha maana mpaka niwape wanangu hayo majinaAcha uongo majina mazuri yapo tu Tena mengi sana , Majina yote duniani Kuna mabaya na mazuri
Kuna mchezaji Ulaya alikuwa anaitwa drinking water so Hilo jina Lina uzuri Gani !??
Majina mazuri ya kiswahili yapo kama TUNU BAHATI WEMA PENDO etc
Mimi nina dada yangu hapo anaitwa tunu and she's so successful person katika maisha yake nadhani what's matters most ni namna utakavyo mlea na kumkuza mwanao katika misingi Bora ndio atakavyo kuja kuwa labda itokee Bahati mbaya ,Sijasema ni mabaya , ila wamiliki wa haya majina hawana cha maana mpaka niwape wanangu hayo majina
Kufanikiwa hata mimi nimefanikiwa kwa kiasi changu tatizo sisi wamatumbi hatuna kitu special kila kitu tumeiga tu hivyo sioni vibaya kuiga na jinaMimi nina dada yangu hapo anaitwa tunu and she's so successful person katika maisha yake nadhani what's matters most ni namna utakavyo mlea na kumkuza mwanao katika misingi Bora ndio atakavyo kuja kuwa labda itokee Bahati mbaya ,
Though majina pia Huwa Yana akisi maana ya maisha ya mtu that's why tunapaswa kutoa majina mazuri ,
Na sio Kila atakaye pewa Jina la mtu mashuhuri basi nayeye atakuwa mashuhuri au Atafanya vizuri katika maisha yake mfano mdogo Kuna watu wengi wanaitwa Muhammad lakini wapo baadhi Yao ni watu wa hovyo 😄
Mimi naona siku hizi trend ya kuwapa watoto majina ya kizungu imepungua kidogo. Baadhi ya watu wameelimika na wanatumia majina ya asili. Miaka ya nyuma wakatoliki walikuwa wamefikia hatua ya kusema hili ni jina la kishenzi (majina ya asili) na jina la kikristo (ya kizungu).Niko na rafiki yangu hapa tunakumbushana majina ya asili ya makabila ya watanzania yanayopotea kwa kasi ya ajabu miaka hii hatuyasikii sana.
Naaam naitwa baba kuringe,Mwanangu anaitwa LULU , mbona majina ya kiswahili yapo mengi tu mazuri
Umetoka bongo au?!Majina hutolewa Kwa sababu maalumu.
Walioitwa matesi,shida etc by then Walipewa hayo majina kulingana na mazingira husika.
Kwani hakuna majina yenye maana tofauti na hayo kulingana na tamaduni zenu?
Mwisho jumuiya John hakumuondolei hizi tabu hapo Juu sana sana kunaondoa identify na kunaonesha huna utamaduni ukitokea Duniani kama bahati mbaya.
Wakurya pia majina ya asili yamebaki kuanzia jina la tatu kwenda mbele,Kwahiyo, ndugu mleta uzi unaumia kuona kuna mkurya anaitwa Collin McKenzie au Joyce Napoleon!?
Yanavutia kwa kweli au unaonaje aiseeNadhani mtoa mada majina unayomaanisha ni kama haya. Kama ndivyo, unafikiri ni vema kuwa na nomino kama hizi kwa binadamu!
View attachment 3559017View attachment 3559019