Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hesabu nilipata mswaki😁Wauza unga, wapigaji, A.k.a yahoo boys, hii bongo asilimia ngapi ya wanaume ni wauza unga wenye hela, na wadada kausha damu ni asilimia ngapi, obviously wadada kausha damu ni wengi mno kuliko wauza unga, mbona hesabu hazi-tally Joannah