Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Hao si matajiri wana hela ya kula na kubadili mboga. Hao ikitoka awamu moja ikija ingine wanakuwa Hoi.
Ha haaa umeongea kama mama yangu,anasemaga hii tabia ya wadada kuomba mihela mikubwamikubwa ni sababu wameharibiwa na wapigaji wauza unga maana Hela zao haziumi...
 
Basi mngekuwa mnaolewa na machizi
Maana yake ni kwamba huyo mtu potential sio lazima awe kwa ajili ya huyo dada. Kwamfano mimi naweza kuwa wife material lakini sio material kwa ajili yako. Kwahiyo we ukinikataa nikawa nang’ang’ania kuwa Mzabzab hanitaki wakati mimi ni wife material, nakuwa nimejipa umuhimu nisiokuwa nao kwako. Hope umeelewa.
 
Sasa ukilazimisha kuwa naye, wakati tangu mwanzo kakuonesha upande wake, wewe ukang'ang'ania, hapo kosa ni lako.

Ukiona hamuendani, unambwaga.

Wanawake mbona wako wengi sana tu?

Sasa tatizo vijana wanaona kama ligi, kila mwanamke lazima umpate, hata kama hamuendani.
NAKAZIA
 
Kuna mmoja Iringa alinisaidia nilipoumwa tumbo nikiwa safarini. Baada ya siku mbili tatu za kuwasiliana ananipiga kizinga cha kodi ya miezi 4 Tsh 240,000 nikamchana aache njaa.
 
Hiyo hoja ya "watakosa wanaume wazuri" kwa kiasi kikubwa hapa ni passive aggressive reverse psychology tu ya wanaume wanaojifanya wana huruma sana.

Wanawake wajinga wakikosa wanaume wazuri wewe mwanamme inakuuma nini? Si wamekosa kwa ujinga wao?

Hao wanaosema hivyo wengi wao ni wanaume wenye upwiru tu wanataka wanawake wajirahisishe kwao, katika mfumo unaolazimisha uwe na hela ili kuwa na mwanamke.

This is not an entirely altruistic argument.

Ni kama hoja ya Waislamu kutaka wanaume waoe wake wengi ili wawasaidie wanawake.

It is a thinly disguised self serving passive aggressive reverse psychology trick.
[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom