Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Kuna binti nilikaa nae chini Ijumaa tukapiga story. Nimejikuta namuonea huruma kwani yupo 32yrs, ana kazi, ana nyumba, hana mtoto wala mahusiano ya kueleweka mpaka sasa na hajui nini afanye.
 
Kuna binti nilikaa nae chini Ijumaa tukapiga story. Nimejikuta namuonea huruma kwani yupo 32yrs, ana kazi, ana nyumba, hana mtoto wala mahusiano ya kueleweka mpaka sasa na hajui nini afanye.
Kwa nini jamii yetu inafanya mtu, hususan mwanamke, akiwa hana mahusiano, hana mtoto, ni kama mtu ambaye hajakamilika?

Kwani utu wa mwanamke haukamiliki kama hana mahusiano au mtoto?
 
Kwa nini jamii yetu inafanya mtu, hususan mwanamke, akiwa hana mahusiano, hana mtoto, ni kama mtu ambaye hajakamilika?

Kwani utu wa mwanamke haukamiliki kama hana mahusiano au mtoto?
Yeye mwenyewe anaonesha kutoridhika na hali hiyo. Na ndio sababu akaomba ushauri kutoka kwangu.
 
Yeye mwenyewe anaonesha kutoridhika na hali hiyo. Na ndio sababu akaomba ushauri kutoka kwangu.
Yeye mwenyewe kazungukwa na jamii inayomfanya ajione mnyonge, ndiyo maana hata kaona jambo hilo si la kawaida na linahitaji kuomba ushauri.

Mwanamke akiwa hana bwana watu wanampa pressure bwana wako nani? Akiwa na bwana watu wanampa pressure, anakuoa lini? Akiolewa anapewa pressure, utazaa lini? Akizaa anapewa pressure mtoto wa pili lini? Mtoto anatakiwa kuwa na mwenzake, asiwe peke yake, wa pili utazaa lini? It is ridiculous.

Yani tumemfanya mwanamke ambaye hana mtoto wala mahusiano awe mtu wa ajabu sana, wakati hayo nayo ni maisha tu.
 
Yeye mwenyewe kazungukwa na jamii inayomfanya ajione mnyonge, ndiyo maana hata kaona jambo hilo si la kawaida na linahitaji kuomba ushauri.

Yani tumemfanya mwanamke ambaye hana mtoto wala mahusiano awe mtu wa ajabu sana, wakati hayo nayo ni maisha tu.
Kabisa mkuu yani mpaka anatia huruma. Aliongea vitu mpaka nikapata simanzi.
 
Mkuu mbona kutokana na maelezo yako unaonekana kama wewe bado safari ni ndefu..?[emoji1][emoji1]
Mimi siwezi ng'ang'ana na mwanamke kuweka mipaka na ndugu zake ni yeye atumie akili zake kuweka mipaka maana kweli nafikiria kumuoa . Nikimwambia mimi naona kama ataona nawachukia ndugu zake huo mtihani ni wake maana indirect na mwelezaga kijanja sana
 
Ni kwamba wanawake wanakosa potential husbands na wanaume wanakosa potential wives

So ni lose-lose situation shem😊👆
Sasa mbona hawasemi kama wanakosa badala yake wanatuzodoa kuwa sisi ndo tunakosa
 
Kakuuliza ,unapenda mashangazi? Mbona unaruka ruka vitu vya msingi unakimbia kimbia??

Tayana-wog Naomba nimjibie, huyu dogo anapenda mashangazi ila sio wale vimbau mbau ..Mashangazi yanakua na nyama nyama, wale wembamba wanaitwa vishangazi
Mkubwa taratibu basi 😃🤣, kabla ya mwenda mbali.
👉Je una mwanasheria 😁, maana Tayana-wog Aki sema nipokee upako.
👉Basi kazi unayo🤣
 
Back
Top Bottom