Mim sijasema kua ni kazi yako kuhakikisha kila mwanamke anaolewa.
Ninachotaka kusema sasa ni kwamba utajiri na umasikini si kipimo sahihi cha ndoa kwa mwanamke, utayari wa mtu ndio kitu pekee.
Wewe kuoa mwanamke tajiri wa akili na mali hakuna maan ya kwamba ndio usahihi kweny maisha.
Unaweza pata huyo tajiri na vizinga vyake uvikimbie na unaweza pata huyo unaeona ana akili lakin ikafika mahala ukaona kwamba anakupanda kichwani yeye ndo anataka achukue nafasi ya ubaba katika familia na mahusiano
Ndoa, mahusiano ni utayari wa mtu wa moyo.
Mim naona hivo.