Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

USA tayari anayo Alaska sebleni kabisa kwa Russia na hajafanya lolote juu ya hilo,

Russia anajazwa tu, kuna mstari anasubiliwa auvuke

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mkuu comon sense tu achana na ubishani wa simba na yanga kwenye vitu kama ivi,
Nchi kama marekani ina thamini uhai wa kila raia wake mmoja kwa usawa kabisa..
Madhara yakuingia iyo vita ni makubwa mnoo kuliko faida zake..
What for yani ni ukichaa kabisa.
 
Wanaume wao hawaumii mkuu au wana miili ya vyuma?
 
Huyo dada anajiita Yuko nyutro wakati ni pro west.
Ok sio kosa kuwa na upande.
Lakini kosa ni kufanya maamuzi ya upendeleo .
USA kamponza Ukraine.
Urusi an haki ya kujilinda.
 
Utumiaji wenu wa akili kama taifa umewafikisha wapi nyie watanzania? Sindio kila siku mnatiwa ugumu wa maisha tu na mmebung’aa...

Tozo za lazima, Katiba hampewi mnalia lia tu kila siku maisha magumu! Hizo akili mbona haziwasaidii mpewe katiba na kupata viongozi mnaowataka watakaoboresha huduma.
 
Huyo dada anajiita Yuko nyutro wakati ni pro west.
Ok sio kosa kuwa na upande.
Lakini kosa ni kufanya maamuzi ya upendeleo .
USA kamponza Ukraine.
Urusi an haki ya kujilinda.
Nipo Neutro. Hivi kwani Ukraine kishaingia NATO?Jibu ni Non.Sasa kwa nini Russia anawavamia ?
 
Trump angeingia kichwa kichwa ila bidden naona kaufyata
 
Mbona USA walifanya hivyo nchi nyingi zikiwemo Iraq, afrighanstan, Libya hamkusema hivyo?
Ina maana uovu Marekani kwa nchi ndogo kunahalalisha uovu wa Urusi kwa jirani yake..?

Uovu ni uovu tu haijalishi umetendwa na nani.
 
Trump angeingia kichwa kichwa ila bidden naona kaufyata
Trump ana ukichaa ndio ila refer issue ya kiduku tu kila siku alikua anapiga mkwala mzito ila hamvamii..
Pentagon inajua kiduku ana nuclear no matter we unazo ngapi but hata izo chache za mwenzio lazma u calculate madhara kias gani zinaweza kuleta kwako ..
Vita vya wakubwa kwa wakubwa now ni ngumu kutokea cauz wanaogopana ..
Na siku ikitokea jua ndo yatakua maanguko yao na kuibuka wababe wengine wadunia..
Hamna anayetaka hilo.
 
Katika Karne hii ya 21 Marekani aliivamia Iraq bila sababu ya msingi.

Katika Karne hii ya 21 NATO ikiongozwa na mfaransa waliivamia Libya na kuacha magofu mpaka Leo.

Katika Karne hii ya 21 Marekani ameyavuruga Mataifa mengi ya Amerika ya kusini almanusra Venezuera iende na maji.

Hivi nani kichaa kati ya Marekani na Urusi
 
Unafikiri kwa Nini Russia hapendi NATO?
 
Kama anataka kufanana na Stalin, Alexander, Julius Caesar, Khan nayeye awe mstar wa mbele huyu akiachwa aivamie Ukraine atanogewa ataivamia Georgia na korashia
Hayo yote yalikuwa majimbo yake mwamba anataka yarudi kwenye himaya yake hakuna cha vikwazo wala kitu chakumtisha. Atakae jaribu atakiona. V Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…