Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsimulie bibi akoKu-reject the reality haifany reality isiwepo wewe kichwa panzi.
Na kureject the reality haifanyi uwe smart zaidi ya kuwa dreamer.
Hizo vita sijasimuliwa tu zingine nimekuwa frontline.
Akili yako ndio imefikia mwisho wa kufikiri.Kamsimulie bibi ako
Uchumi wa dunia Hii sio century ya Hitler .Putin need to be murderedRussia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
Na sisi tumshukuru MUNGU kwa tarehe 17/3/2021. Tulinyimwa misaada kwa sababu kadhaa za kipuuzi kabsa eti mtoto wa kike akipata ujauzito ni marufuku kurudi shule. Matokeo yake tukaanza kukopa kwa siri kwenye mabenki ya biashara deni la taifa likaongezeka maradufu huku tunadanganywa takwimu za uchumi na tunadanganywa miradi mikubwa inajengwa kwa pesa za ndani. ASANTE SANA MUNGU KWA COVID19Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Nikiona Mubwa inayoshabikia vita nakua na wasiwasi na akili yake na uwepo wa marinda piaAkili yako ndio imefikia mwisho wa kufikiri.
Pole kichwa panzi..
Wanawake wala urojo ndio munaogopa vita since day one niko vitani.Nikiona Mubwa inayoshabikia vita nakua na wasiwasi na akili yake na uwepo wa marinda pia
USA kaufyata
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
NATO ya nn kama hawataki vita Mzee[emoji706]Unajua madhara ya vita wao wamemuwekea vikwazo Russia na hakuna kitu kibaya kama vikwazo tatizo sisi waafrika tunaupeo mdogo sana nenda apo somalia au Kongo uone madhara ya vita usingeshadadia vita na watu wenye akili wanalijua hilo
Unapenda vita amia somalia, madhara ya vita ni makubwa kuliko faidaNATO ya nn kama hawataki vita Mzee[emoji706]
Urusi hata ukimwekea vikwazo we ndo utakufa njaa.Putin ni dikteta mpenda Vita ni lazima dunia imwekee vikwazo vikali vya kiuchumi ili kuzuia mauaji huko Ukraine.
USA tayari anayo Alaska sebleni kabisa kwa Russia na hajafanya lolote juu ya hilo,Ukraine kujiunga nato ni tishio kwa usalama wa russia ..
Moscow ishafanya calculation zake ni bora kupoteza billions of money now kuliko anguko litakalokuja kutokea uko baadae wakiruhusu ukraine ijiunge na nato na kua kibaraka wa usa..
Usa anataka kuitumia ukraine kama kichaka cha karibu for their missions..
Dah... Ma do kama nyie mnao fwatilia National news na comment zenu kama hizi sijui mnapatikana wapi...[emoji23]Hawataki vita lakini huko Syria, Iraq, Libya na kwingineko walipeleka majeshi yao kusaport vikundi haramu, kuna muda unajifanya uko neutral lakini mahaba yako kwa NATO yanaonekana waziwazi.
Mpaka muda huu mafuta yameshapanda bei kwa zaidi ya dola 100 kwa pipa na pesa ya Urusi imeshuka thamani kwa kiwango kikubwa zidi ya dola na pound.Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?
Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?
Hata China wanamcheka kinafiki.
Mbona USA walifanya hivyo nchi nyingi zikiwemo Iraq, afrighanstan, Libya hamkusema hivyo?Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!