Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Nasikia na Malawi wanajaza vikosi pembeni ya NyasaBora wazichape tuone mbaabe nani, mbona sisi Tanzania ya Nyerere tulizichapa na Uganda ya Idd Amini Dada!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia na Malawi wanajaza vikosi pembeni ya NyasaBora wazichape tuone mbaabe nani, mbona sisi Tanzania ya Nyerere tulizichapa na Uganda ya Idd Amini Dada!!
Huo ndo ukweli we unaeshabikia vita nenda somalia uone madhara ya vita sio unakaa kwenye keyboard unaandika andika ujingaMmebadilisha tena
Ku-reject the reality haifany reality isiwepo wewe kichwa panzi.Bora yangu mim ambae shishabikii vita kama wewe na wenye upeo mdogo wote wanashabikia vita laiti ungekua madhara ya vita usingekua unashadadi
Aisee muda mwingine jaribu kushirikisha akili yako ndugu duuuh!!Kuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.
Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.
Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
In short Kuna watu wajinga sana watu wanafikiri zile ni movie madhara ya vita yatalazimisha nchi nyingine zipate shida kiuchumi tatizo huku watu ni wajinga sana, kama wanapenda vita waende somaliaMkuu Usa,russia,chyna hawa wote wana silaha nzito za mangamizi,..
Hakuna yeyote anayeweza kuingilia operation za mwingine kichwa kichwa..
Watu wanafanya risk assessment..
Ni bora ukraine ipotee kwenye ramani kuliko matatzo atakayosababishia raia wake bwana biden kama ata step inn this war..
Sidhani kama pentagon ina maafsa wapumbavu kias wamshauri jamaa ajiingize kwenye iyo vita
All in all the main point si kumlaumu Putin "Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake". USA ni nchi ngapi ameziharibu kwa kujifanya kulinda usalama (Libya, Afghanistan,Iraq n.k)Haisaidii sababu kote huko kunaekewa vikwazo hakuna meli itakayoenda hivi unajua maana ya vikwazo nisije nikawa napoteza mda
Venezuela ni nchi inayoongoza kwa reserve ya oil lakin angalia baada ya vikwazo Hana wa kumuuzia oil Leo hii Venezuela ni fail state Hana pa kukimbilia, wananchi wake wanakimbilia Colombia na Brazil
Wew kalale mapema wew hata hujui kama demu wako anakusaliti au laa unajifanya mjuaji Zaid ya warussi wenyewe kama watawekewa vikwazo hilo eneo watakuwa nawaenda kucheza karata mara moja moja hukuna ubaya Kwanza wew umekuwa na huruma hii lini mpka uumie urusi wakiwekewa suctionYaan hata Putin akichukua Ukraine watakachofanya ni kuwekea vikwazo eneo Zima la Ukraine yaan hakuna kiwanda au kampuni itakayokubali kuoperate eneo Zima la Ukraine, mwisho wa siku uchumi wa eneo husika una collapse kwa hiyo work done inakua equal to zero ndo maana Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akili
We endelea kushabikia vita reality ipi unajua madhara ya vita yatakayokuwepo kwenye uchumi wa Dunia au unaongea ongea kirahis bei ya mafuta ikipanda kwa sababu ya huo mgogoro unahikika wewe hautaumia acha ujingaKu-reject the reality haifany reality isiwepo wewe kichwa panzi.
Na kureject the reality haifanyi uwe smart zaidi ya kuwa dreamer.
Hizo vita sijasimuliwa tu zingine nimekuwa frontline.
Ni kweli na wakulaumiwa ni NATO ndiye wamesababisha na tayari imeanza kuleta madhara kwenye Uchumi duniani (prices of gold,gas ,oil are surging right now)In short Kuna watu wajinga sana watu wanafikiri zile ni movie madhara ya vita yatalazimisha nchi nyingine zipate shida kiuchumi tatizo huku watu ni wajinga sana, kama wanapenda vita waende somalia
Marekani na umoj wa ulaya hawawezi ingia hivyo vita ila watamshuhulikia kiuchumi na hakuna vita vibaya kama vya uchumi
Maswala ya wanawake yametoka wali hili sio jukwaa la mahusianoWew kalale mapema wew hata hujui kama demu wako anakusaliti au laa unajifanya mjuaji Zaid ya warussi wenyewe kama watawekewa vikwazo hilo eneo watakuwa nawaenda kucheza karata mara moja moja hukuna ubaya Kwanza wew umekuwa na huruma hii lini mpka uumie urusi wakiwekewa suction
Pande zote wa kulaumiwaNi kweli na wakulaumiwa ni NATO ndiye wamesababisha na tayari imeanza kuleta madhara kwenye Uchumi duniani (prices of gold,gas ,oil are surging right now)
Huo uchumi wa dunia unaujua!???We endelea kushabikia vita reality ipi unajua madhara ya vita yatakayokuwepo kwenye uchumi wa Dunia au unaongea ongea kirahisi
Acha kuongea ongea tuYaan hata Putin akichukua Ukraine watakachofanya ni kuwekea vikwazo eneo Zima la Ukraine yaan hakuna kiwanda au kampuni itakayokubali kuoperate eneo Zima la Ukraine, mwisho wa siku uchumi wa eneo husika una collapse kwa hiyo work done inakua equal to zero ndo maana Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akili
Nikukumbushe hii ni forum au umesahauAcha kuongea ongea tu
Wewe ungekua unaujua usingeshabikia vitaHuo uchumi wa dunia unaujua!???
Acha kuwa kassuku..
Wewe ndiye mpumbavu wa kwanza, soma historia ya dunia ndiyo utajua kwa nini Russia hawataki NATO pale Ukraine, hivi kweli Russia wanaweza peleka siraha za maangamizi pale Mexico boarder na USA, bila USA kupiga kelele, hile Vita baridi Russia walipoweka makombora ya NUCLEAR hapo Cuba , USA walipiga sana kelele kipindi cha raisi Kennedy mpaka urusi wakaondoa makombora yao. Iweje NATO/USA waweke sana zao matakoni mwa Russia. Muwe munasoma historia ya dunia inavyoenda kufeli kwako form four na kupata zero kusiwe kigezo Cha kuleta pumba zako hapa janvini.Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Sawa mwanauchumi wa dunia.Wewe ungekua unaujua usingeshabikia vita
US na washirika woao hawajawahi kuangalia humanity hata siku moja.Watu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Usichoshe akili yakoHaisaidii sababu kote huko kunaekewa vikwazo hakuna meli itakayoenda hivi unajua maana ya vikwazo nisije nikawa napoteza mda
Venezuela ni nchi inayoongoza kwa reserve ya oil lakin angalia baada ya vikwazo Hana wa kumuuzia oil Leo hii Venezuela ni fail state Hana pa kukimbilia, wananchi wake wanakimbilia Colombia na Brazil
USA aliwahi kuivamia Yugoslavia mpaka wakamchomoa Raisi wa nchi Madarakani,waliivsmia Iraq,Libya iliSambarstishwa kabisa.Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.