hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
[emoji16][emoji16][emoji16]Uko na akili ndogo hadi naona nikikujibu napoteza muda bure...propaganda za Marekani zimejaza ubongo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Uko na akili ndogo hadi naona nikikujibu napoteza muda bure...propaganda za Marekani zimejaza ubongo wako
Ko wewe unahis una akili kuliko Putin?Yaan hata Putin akichukua Ukraine watakachofanya ni kuwekea vikwazo eneo Zima la Ukraine yaan hakuna kiwanda au kampuni itakayokubali kuoperate eneo Zima la Ukraine, mwisho wa siku uchumi wa eneo husika una collapse kwa hiyo work done inakua equal to zero ndo maana Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akili
Yaani Tena empty setUpo empty kabisa bure
Wana akili hiyo Sasa [emoji16][emoji16] hao huwa wanamezesheshwa tu ujinga ni brain washed hao bendera fuata upepoWanawezaje kutengeneza silaha kali na wakati Wana uchumi hafifu?? Maana hii wengi hamjiulizagi
Nimecheka sana baada ya kuona tweet ya mdoli biden eti anawaombea.Kuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.
Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.
Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
Wenzio walikuwa wanapinga humuMbona marekani alisema Putin anataka kuvamia Ukraine na kweli baadhi ya maeneo ameshachukua hizo habar zako kwamba hakuna vita ni za wapi
Wanajilinda sababu ya hawa wehu kama Putin .Wewe ndo hutaki vita....Watu kama hawataki vita..military alliances ni za nini...NATO mpinzani wake alikua SOVIET UNION na warsaw pact...vyote hivi havipo....unafikiri ni kwa nini bado NATO ipo na inazidi kuexpand....NATO ndo chanzo cha haya matatizo
Naijua sana historia.Sasa tunaongelea hali halisi.Kuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.
Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.
Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
Unajua madhara ya vita wao wamemuwekea vikwazo Russia na hakuna kitu kibaya kama vikwazo tatizo sisi waafrika tunaupeo mdogo sana nenda apo somalia au Kongo uone madhara ya vita usingeshadadia vita na watu wenye akili wanalijua hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukraine analia peke yake waliompa kichwa kikuu wapo mbali nae sana ...ss kama kweli NATO ni wanaume watie mguu wao hapo mwanaume ashasema na yeyote asaidie na aone nini kitamkuta
Soma hiyo report msiwe hyped by western mediasLeo hii Crimea hakuna kampuni itakayoenda kufungua biashara kwanin eneo Zima limepigwa sanction in short Crimea Haina faida kwa Russia
Umesema wewe sijasema mimko wewe unahis una akili kuliko Putin?
Sababu hazilingani sana lakini uko sawa kwamba yote yalikuwa na kiwango kikubwa cha uongo na unafiki. Kurefusha mission ya Afghanistan Bush alipanga kupiga pesa za walipa kodi wa US kupitia kampuni binafsi. Kuvamia Iraq alidanganya ulimwengu kuwa kuna silaha za maangamizi ya halaiki.Bila shaka maamuz aliyofanya Putin hayatofautian na maamuz aliyoyafanya Bush nchin Iraq na Afghanistan
Wewe ndio unaupeom mdogo sio wote.Unajua madhara ya vita wao wamemuwekea vikwazo Russia na hakuna kitu kibaya kama vikwazo tatizo sisi waafrika tunaupeo mdogo sana nenda apo somalia au Kongo uone madhara ya vita usingeshadadia vita na watu wenye akili wanalijua hilo
NATO anaingiaje hapo wakati Ukraine si mwanachama wa NATO ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukraine analia peke yake waliompa kichwa kikuu wapo mbali nae sana ...ss kama kweli NATO ni wanaume watie mguu wao hapo mwanaume ashasema na yeyote asaidie na aone nini kitamkuta
Haisaidii sababu kote huko kunaekewa vikwazo hakuna meli itakayoenda hivi unajua maana ya vikwazo nisije nikawa napoteza mdaSoma hiyo report msiwe hyped by western mediasView attachment 2129497
Sas Hong Kong ajiandaaje?Hong Kong na Taiwan zijiandae , China anakuja huko soon .
Bora yangu mim ambae shishabikii vita kama wewe na wenye upeo mdogo wote wanashabikia vita laiti ungekua madhara ya vita usingekua unashadadiWewe ndio unaupeom mdogo sio wote.
Mmebadilisha tenaWatu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Mkuu Usa,russia,chyna hawa wote wana silaha nzito za mangamizi,..Leo hii Urusi sio tishio kwa USA. Ni tishio kwa nchi za jirani tu. China ndio tishio hasa kwa Marekani.