Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

USA tayari anayo Alaska sebleni kabisa kwa Russia na hajafanya lolote juu ya hilo,

Russia anajazwa tu, kuna mstari anasubiliwa auvuke

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mkuu comon sense tu achana na ubishani wa simba na yanga kwenye vitu kama ivi,
Nchi kama marekani ina thamini uhai wa kila raia wake mmoja kwa usawa kabisa..
Madhara yakuingia iyo vita ni makubwa mnoo kuliko faida zake..
What for yani ni ukichaa kabisa.
 
Tatizo lako ni mshabiki vita ni vita no one final outcome itakuaje, hakuna mtu alikua mbabe kama Hitler putin Cha mtoto lakin mwisho alianzisha vita akaja akashindwa vimwenyewe vita havinaga mwenyewe

Marekani na manguvu yake yote ameshindwa vita Afghanistan na Vietnam hiyo ni mifano michache

Na sio nchi nyingine wameufyata hapana vikitokea vita watakaoumia ni watoto, wanawake na wazazi, Ukraine kujiunga ni tishio kwa urusi kumbuka Ukraine ni nchi huru huwezi ipangia kipi Cha kufanya na kipi sio Cha kufanya

Urussi mwanzoni mwa mwezi huu aliwaambia romani na Bulgaria wajiondoe NATO, walimjibu vizuri urussi sisi ni nchi huru huwezi tupangia kipi cha kufanya au aina ya marafiki wa kuwa nao
Wanaume wao hawaumii mkuu au wana miili ya vyuma?
 
Kuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.

Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.

Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
Huyo dada anajiita Yuko nyutro wakati ni pro west.
Ok sio kosa kuwa na upande.
Lakini kosa ni kufanya maamuzi ya upendeleo .
USA kamponza Ukraine.
Urusi an haki ya kujilinda.
 
Yaan hata Putin akichukua Ukraine watakachofanya ni kuwekea vikwazo eneo Zima la Ukraine yaan hakuna kiwanda au kampuni itakayokubali kuoperate eneo Zima la Ukraine, mwisho wa siku uchumi wa eneo husika una collapse kwa hiyo work done inakua equal to zero ndo maana Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akili
Utumiaji wenu wa akili kama taifa umewafikisha wapi nyie watanzania? Sindio kila siku mnatiwa ugumu wa maisha tu na mmebung’aa...

Tozo za lazima, Katiba hampewi mnalia lia tu kila siku maisha magumu! Hizo akili mbona haziwasaidii mpewe katiba na kupata viongozi mnaowataka watakaoboresha huduma.
 
Huyo dada anajiita Yuko nyutro wakati ni pro west.
Ok sio kosa kuwa na upande.
Lakini kosa ni kufanya maamuzi ya upendeleo .
USA kamponza Ukraine.
Urusi an haki ya kujilinda.
Nipo Neutro. Hivi kwani Ukraine kishaingia NATO?Jibu ni Non.Sasa kwa nini Russia anawavamia ?
 
Mkuu Usa,russia,chyna hawa wote wana silaha nzito za mangamizi,..
Hakuna yeyote anayeweza kuingilia operation za mwingine kichwa kichwa..
Watu wanafanya risk assessment..
Ni bora ukraine ipotee kwenye ramani kuliko matatzo atakayosababishia raia wake bwana biden kama ata step inn this war..
Sidhani kama pentagon ina maafsa wapumbavu kias wamshauri jamaa ajiingize kwenye iyo vita
Trump angeingia kichwa kichwa ila bidden naona kaufyata
 
Mbona USA walifanya hivyo nchi nyingi zikiwemo Iraq, afrighanstan, Libya hamkusema hivyo?
Ina maana uovu Marekani kwa nchi ndogo kunahalalisha uovu wa Urusi kwa jirani yake..?

Uovu ni uovu tu haijalishi umetendwa na nani.
 
Trump angeingia kichwa kichwa ila bidden naona kaufyata
Trump ana ukichaa ndio ila refer issue ya kiduku tu kila siku alikua anapiga mkwala mzito ila hamvamii..
Pentagon inajua kiduku ana nuclear no matter we unazo ngapi but hata izo chache za mwenzio lazma u calculate madhara kias gani zinaweza kuleta kwako ..
Vita vya wakubwa kwa wakubwa now ni ngumu kutokea cauz wanaogopana ..
Na siku ikitokea jua ndo yatakua maanguko yao na kuibuka wababe wengine wadunia..
Hamna anayetaka hilo.
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Katika Karne hii ya 21 Marekani aliivamia Iraq bila sababu ya msingi.

Katika Karne hii ya 21 NATO ikiongozwa na mfaransa waliivamia Libya na kuacha magofu mpaka Leo.

Katika Karne hii ya 21 Marekani ameyavuruga Mataifa mengi ya Amerika ya kusini almanusra Venezuera iende na maji.

Hivi nani kichaa kati ya Marekani na Urusi
 
Tatizo lako ni mshabiki vita ni vita no one final outcome itakuaje, hakuna mtu alikua mbabe kama Hitler putin Cha mtoto lakin mwisho alianzisha vita akaja akashindwa vimwenyewe vita havinaga mwenyewe

Marekani na manguvu yake yote ameshindwa vita Afghanistan na Vietnam hiyo ni mifano michache

Na sio nchi nyingine wameufyata hapana vikitokea vita watakaoumia ni watoto, wanawake na wazazi, Ukraine kujiunga ni tishio kwa urusi kumbuka Ukraine ni nchi huru huwezi ipangia kipi Cha kufanya na kipi sio Cha kufanya

Urussi mwanzoni mwa mwezi huu aliwaambia romani na Bulgaria wajiondoe NATO, walimjibu vizuri urussi sisi ni nchi huru huwezi tupangia kipi cha kufanya au aina ya marafiki wa kuwa nao
Unafikiri kwa Nini Russia hapendi NATO?
 
Kama anataka kufanana na Stalin, Alexander, Julius Caesar, Khan nayeye awe mstar wa mbele huyu akiachwa aivamie Ukraine atanogewa ataivamia Georgia na korashia
Hayo yote yalikuwa majimbo yake mwamba anataka yarudi kwenye himaya yake hakuna cha vikwazo wala kitu chakumtisha. Atakae jaribu atakiona. V Putin.
 
Back
Top Bottom