TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nilitaka toyo nikapigwa mkwaraHao watu wamagharibi wakiongozwa na wamarekani wabinafsi balaa... kila siku vikwazo mpaka wanafikia mahali kuwapiga mkwala nchi ambazo zina mahusiano ya kibiashara kutonunua kwa Russia. Bora vita lipigwe maisha yake sawa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tatizo lako ni mshabiki vita ni vita no one final outcome itakuaje, hakuna mtu alikua mbabe kama Hitler putin Cha mtoto lakin mwisho alianzisha vita akaja akashindwa vimwenyewe vita havinaga mwenyeweKuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.
Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.
Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
mzee ana kejeli sana eti wekeni silaha chini mrudi nyumbaniWaende nyumbani...[emoji28] [emoji28]
Masilaha ambayo USA na NATO wamejilimbikizia ni kwa ajili ya kilimo cha mboga mbogaWatu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Masirahi ya nchi yake yako Ukraine? Kwanini asipiganie hayo Masirahi ndani ya urusi?Hitler wa kisasa anayetetea maslahi ya nchi yake
Kwani Ukraine ni koroni la urusi?Putin hataki Ukraine ijiunge NATO maana anahatarisha usalama wake..NATO wanaitaka Ukraine ili waizunguke Urusi na Urusi hawezi kuiubali hilo kamwe.
Kazi ipo kwa Ukraine aamue yeye
Yaan hata Putin akichukua Ukraine watakachofanya ni kuwekea vikwazo eneo Zima la Ukraine yaan hakuna kiwanda au kampuni itakayokubali kuoperate eneo Zima la Ukraine, mwisho wa siku uchumi wa eneo husika una collapse kwa hiyo work done inakua equal to zero ndo maana Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akiliNorth Korea? Economically, that's a failed state.
Wanachoweza ni kutengeneza tu silaha, basi!
Wameachwa mbali mno na South Korea
Hata juzi juzi iliwaambia Bulgaria na Romania wajiondoe NATO walimwambia sisi ni nchi huru huwezi tupangia kipi Cha kufanya na kipi sio Cha kufanyaKwani Ukraine ni koroni la urusi?
Putin ni dikteta mpenda Vita ni lazima dunia imwekee vikwazo vikali vya kiuchumi ili kuzuia mauaji huko Ukraine.
Jitu kama hilo Waswahili wanaita:..Putin ni kiongozi anayetumia nguvu kuliko akili
Sijui umezama kiasi gani kwenye hiyo elimu yako ya Urusi. Unaelewa hata nini hasa kilichofanyika huko Donbas region? Au Crimea au nchi ya Georgia for that matter?Nani anamkubali wakati umeona mikoa miwili fastafasta imejitngaza kuungana na Urusi?
Ukitaka kujua maslahi ya Urusi kwa Ukraine tafuta historia. Urusi ipo tayari kufa na yeyote anayejaribu kuitengnisha na Ukraine
Leo hii Urusi sio tishio kwa USA. Ni tishio kwa nchi za jirani tu. China ndio tishio hasa kwa Marekani.Ukraine kujiunga nato ni tishio kwa usalama wa russia ..
Moscow ishafanya calculation zake ni bora kupoteza billions of money now kuliko anguko litakalokuja kutokea uko baadae wakiruhusu ukraine ijiunge na nato na kua kibaraka wa usa..
Usa anataka kuitumia ukraine kama kichaka cha karibu for their missions..
Uko na akili ndogo hadi naona nikikujibu napoteza muda bure...propaganda za Marekani zimejaza fuvu lakoSijui umezama kiasi gani kwenye hiyo elimu yako ya Urusi. Unaelewa hata nini hasa kilichofanyika huko Donbas region? Au Crimea au nchi ya Georgia for that matter?
Lakini kama kweli una background sahihi ya geopolitical power strategies za dunia hii, utaelewa kuwa Putin anafanya kitendo cha kipumbavu sana.
Hana support ya wananchi wa Russia wala Ukraine. Hawa ni ndugu. Anachofanya ni kudhoofisha nchi zao jambo ambalo litafanya nchi za EU, Marekani na China zawapite kiuchumi kwa kasi zaidi. Kudidimia kwa Urusi China ndiye mnufaika mkubwa zaidi kiuchumi na kijeshi.
Bahati mbaya sana, utawala wake huko Russia ni wa “one man show”. Hakuna mhimili mwingine wa kumdhibiti. He’s simply running down the once mighty Russia.
We ndo hujui chochote. Mie nafuatilia media za ndani Russia hapa
Mjinga sana yule. Mimi nadhani anaanzisha chokochoko ili Ulaya waingie kwenye vita na uchumi wao uyumbe. Anaona wivu Akiona EU inafanya vizuri kwenye uchumi. Iam sure Ulaya hawataanguka kwenye huu mtego.
Warusi ni maskini mno japo wamewekeza sana katika jeshiPutin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?
Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?
Hata China wanamcheka kinafiki.
Kosa la Ukraine kwa Urusi ni lipi hadi kuhalalisha kuvamiwa kijeshi? Kivipi Ukraine imetumika na maadui wa Urusi?