Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Bora yangu mim ambae shishabikii vita kama wewe na wenye upeo mdogo wote wanashabikia vita laiti ungekua madhara ya vita usingekua unashadadi
Ku-reject the reality haifany reality isiwepo wewe kichwa panzi.
Na kureject the reality haifanyi uwe smart zaidi ya kuwa dreamer.
Hizo vita sijasimuliwa tu zingine nimekuwa frontline.
 
Aisee muda mwingine jaribu kushirikisha akili yako ndugu duuuh!!
 
In short Kuna watu wajinga sana watu wanafikiri zile ni movie madhara ya vita yatalazimisha nchi nyingine zipate shida kiuchumi tatizo huku watu ni wajinga sana, kama wanapenda vita waende somalia

Marekani na umoj wa ulaya hawawezi ingia hivyo vita ila watamshuhulikia kiuchumi na hakuna vita vibaya kama vya uchumi
 
All in all the main point si kumlaumu Putin "Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake". USA ni nchi ngapi ameziharibu kwa kujifanya kulinda usalama (Libya, Afghanistan,Iraq n.k)
 
Wew kalale mapema wew hata hujui kama demu wako anakusaliti au laa unajifanya mjuaji Zaid ya warussi wenyewe kama watawekewa vikwazo hilo eneo watakuwa nawaenda kucheza karata mara moja moja hukuna ubaya Kwanza wew umekuwa na huruma hii lini mpka uumie urusi wakiwekewa suction
 
Ku-reject the reality haifany reality isiwepo wewe kichwa panzi.
Na kureject the reality haifanyi uwe smart zaidi ya kuwa dreamer.
Hizo vita sijasimuliwa tu zingine nimekuwa frontline.
We endelea kushabikia vita reality ipi unajua madhara ya vita yatakayokuwepo kwenye uchumi wa Dunia au unaongea ongea kirahis bei ya mafuta ikipanda kwa sababu ya huo mgogoro unahikika wewe hautaumia acha ujinga
 
Ni kweli na wakulaumiwa ni NATO ndiye wamesababisha na tayari imeanza kuleta madhara kwenye Uchumi duniani (prices of gold,gas ,oil are surging right now)
 
Maswala ya wanawake yametoka wali hili sio jukwaa la mahusiano
 
Acha kuongea ongea tu
 
Wewe ndiye mpumbavu wa kwanza, soma historia ya dunia ndiyo utajua kwa nini Russia hawataki NATO pale Ukraine, hivi kweli Russia wanaweza peleka siraha za maangamizi pale Mexico boarder na USA, bila USA kupiga kelele, hile Vita baridi Russia walipoweka makombora ya NUCLEAR hapo Cuba , USA walipiga sana kelele kipindi cha raisi Kennedy mpaka urusi wakaondoa makombora yao. Iweje NATO/USA waweke sana zao matakoni mwa Russia. Muwe munasoma historia ya dunia inavyoenda kufeli kwako form four na kupata zero kusiwe kigezo Cha kuleta pumba zako hapa janvini.
 
Watu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
US na washirika woao hawajawahi kuangalia humanity hata siku moja.

Wangeangalia humanity wasingevamia Iraq na Syria
 
Usichoshe akili yako
 
USA aliwahi kuivamia Yugoslavia mpaka wakamchomoa Raisi wa nchi Madarakani,waliivsmia Iraq,Libya iliSambarstishwa kabisa.
Sasa Russia naye anafanya kama nchi za magharibi,akitoa sababu zilezile za kulinda usalama wake.
Kama USA anavyozifanya nchi za Amerika ya kusini,Russia naye ndio hivyo hivyo,kama USA ana haki ya kujilinda basi hata Urusi nae ana haki ya kujilinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…