Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 542
- Thread starter
- #201
Haujaona hiyo link iliyowekwa?, acha kukimbiaWeka link acha porojo

Mchezo unaochezwa na CHADEMA na ACT ni kuonesha video, mabegi yenye karatasi au kuonesha waandishi makaratasi waliyoshikilia mikononi. Hakuna anayetaka makaratasi hayo yakaguliwe moja baada ya nyingine na vyombo husika ambavyo ni ama polisi -Forensic bureau au NEC.Tatizo mlikuwa mmefungiwa mitandao ndiyo maana hamjui kuwa Viongozi wa Chadema waliitisha press conference na kuzionyesha baadhi ya kura zilizokamatwa!
Kuna hiyo video ya ACT Wazalendo wanakuonyesha mikura waliyoikamata!
Kuna video huko Juu Mapolisi nao wamekamata kura, sasa unataka kuwauliza polisi kidhibiti kiko wapi?
Uchaguzi wa Raisi hauhojiwi mahakamani na ni dhahiri hiyo ni gemu iliyosukwa na mamlaka husika, hata ukienda mahakamani, kwa mahakama hizi za CCM ni kupoteza muda. Kwenye awamu hii mahakama imegeuka kuwa ni Kigoda cha Jiwe kukanyagia pindi anapopora haki za wananchi!
Sasa unafikiri NEC na Polisi wanaweza kukubali kuwa kuna tatizo wakati wao ni sehemu ya mchezo mchafu?Mchezo unaochezwa na CHADEMA na ACT ni kuonesha video, mabegi yenye karatasi au kuonesha waandishi makaratasi waliyoshikilia mikononi. Hakuna anayetaka makaratasi hayo yakaguliwe moja baada ya nyingine na vyombo husika ambavyo ni ama polisi -Forensic bureau au NEC. Wanakwepa hilo kwa sababu wanajua makaratasi wanayoonesha ni feki-hayana alama maalum iliyo katika karatasi za kura (watermark) na yana serial numba zinazofanana kwa sababu ni photocopy. Kama unabisha jaribu kuwashauri wapeleke makaratasi hayo kwenye vyombo hivyo uone watakavyokutoa nduki. Wanajua wataumbuka. Ni ulaghai tu kama kawaida yao.
Lissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
Hajawa soft. Lissu ana roho ya utu na anamuonea huruma magufuli kwa yanayokuja mbele yake hapo icc. Ndo mana anamtahadhalisha mapema.Lissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
X 3Uchaguzi umekwisha.
Unajiita msaga sumu halafu unataka kumuongelea Mheshimiwa Lissu..embu jionee aibu kwanzaLissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
Lissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
Ukombozi wa watu huwezi kumtegemea mtu mmoja yeye anafamilia yake
Hata Sugu. Kuna mtu nilimwambia hata wazee wakijani wakifanya yao hawana la kufanya, akasema oh mwaka huu si kama 2015. Nikasema kila mara uwa maneno ni yale yale ya uchaguzi wa mwaka huu si kama ule hata Seif aliamini hilo.Lissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
View attachment 1627150
CCM msi relax wakati mmepaka zebra print kwenye barabara ya vumbi. Mvua ikinyesha kidogo tu hapo ushahidi umepotea.
Kwa hali ilivyo hata ukiwakuta waasi wa Msumbiji wanamshambulia mwa chama wa CCM unawapa baraka zote.
Mtaji wa wanasiasa ni watu. Ameshathibitisha hana watu hata kidogo, lazima alegee. Nawapenda sana watanzania wenzangu. Tumemtupilia mbali 'Mr Mzungu 'Long live watanzania.Lissu sijui kapatwa na nini huyu nguli wa sheria?
Lissu aliyepokelewa miezi mitatu airport na mamia ya vijana ambao Wengi wao baadae ilibainika hawana hata kadi ya kura.
Lissu sio wakuondoka nchini bila shamrashamra tena na backpack moja tu mgongoni.
Lissu alipokuja Mabatini Mwanza alikuwa anatoa matamko tena kwa sauti ya mamlaka, Lissu huku akifanya kampeni nje ya muda na tena akimfokea OCD.
Lissu tulikuwa tunasubiri tamko wananchi tuingie barabarani mara ghafla unaondoka nchini juu juu.
Lissu wewe sio mtu wa kuondoka nchini kizembe kiasi hicho.
Njoo nyumbani mkuu tufanye maandamano yasiyokuwa na kikomo kama mwenyekiti alivyosema,usiwe soft kiasi hicho
ICC ndio imekuwa wimbo was Chadem a kwa SasaHajawa soft. Lissu ana roho ya utu na anamuonea huruma magufuli kwa yanayokuja mbele yake hapo icc. Ndo mana anamtahadhalisha mapema.
Pamoja na kupigwa risasi zote zile, Lissu hajawai kuwa na chuki na mtesaji wake magufuli.