VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Aliposema atatuingiza barabarani nikajua angetangulia yeye na familia yake!

Unataka akubebe ukuingize barabarani kwani uhuru ni wakake peke yake . Yaani yeye kapigwa risasi, karudi kufanya kampeni na kafanya na kuwaeleza uchaguzi ukiwa wa kinywmela watu waende barabarani lakini unasubiri yeye pekee aende.

Ameenda akashikwa na polisi wewe imefanya nini kwa nchi yako ! Watanzania wengine ni wajinga jinga utasubiri sana kama unasubiri watu wengine pekee wafanye kila kitu binadamu wote tuna masaa sawa kama watu hawako tayari maisha yanaendelea na wengine wajinga mtaishia kupiga madongo ya kitoto
 
Mpaka Japan wamekemea Jiwe hauko salama mjiandae kisaikolojia
 
Uoga unafiki . Hawa ni maadui wapya wanao isumbua nchi.
 
kitendo tu cha TL kuita 'MHESHIMIWA RAIS' kinafikirisha sana, beyond uchaguzi
 
Wanahofia tu maisha yao kwa utawala katiri kama huu wangefanyaje
 
Wanahofia tu maisha yao kwa utawala katiri kama huu wangefanyaje
Usidanganywe, hao wanaangalia maslahi yao tu. Mwengine amekimbia madeni na mwingine anataka apewe uraia ale bata Ulaya. Hakuna cha hofu ya usalama wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…