At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,568
- 3,644
Si kuandamana tena baada ya maridhiano mkuu kupuuza.Msimamo huo haukuanza leo. Ni msimamo wa chama ... kumbukeni zile sherehe za siku ya uhuru zilofanyika Mwanza na kuhudhuriwa na uongozi wa CHADEMA. Msimamo wa ulikua ni huo huo wa MARIDHIANO NA UMOJA wa kitaifa. Hili sio jipya
Hayo maridhiano ndo yanafanyikaje?Msimamo huo haukuanza leo. Ni msimamo wa chama ... kumbukeni zile sherehe za siku ya uhuru zilofanyika Mwanza na kuhudhuriwa na uongozi wa CHADEMA. Msimamo wa ulikua ni huo huo wa MARIDHIANO NA UMOJA wa kitaifa. Hili sio jipya
Ahaaa, sasa hivi ameanza kuwa wanasiasa ameacha kuwa nwanaharakati? Atabadilika sana na bado, chezea mambo ya faragha
Heri yao wapatanishi, ni kama ameelewa Watanzania walivyo kwasasa tunahitaji busara ya hali ya juu ili kuweza kufanya Watanzania tuishi kwa pamoja na umoja.
Rais wetu ni mpambanaji tunalifurahia hilo ila kama wapinzani wanaomba room ya maridhiano basi kama mzazi awasikilize hii itamjengea heshima zaidi na zaidi.
Zaburi 133 inaeleza yote.
Duh... Baada ya hapa ndio Lissu anakuwa rais?
It takes two to tangle. Nadhani Lissu awashauri pia CHADEMA warudi nyuma na kukubali kupeleka wale akina mama Bungeni. Ni tactical mistake kususia Bunge na kukaa nje kwa miaka mitano.
Mbali na faida za kiuchumi, ile ndio platform sahihi ya kusema, kukemea maovu na kutafuta mabadiliko kuliko JF na Twitter.
Akakimbia kuokoa maisha yake?hapo ndipo ninapo ona Kuna baadhi yetu sisi hovyo Sana,mtu analianzisha likinuka anakimbia ughaibuni na kuwaacha walalahoi wakisota magereza,ningelimuona wa maana angepambana humuhumu mpaka mwisho
Kama Lissu anaomba maridhiano wewe ni nani? Ni muhimu tukaacha viburi na kuwa wanyenyekevu.Uelewane na mmwaga na mwizi wa kura?
Hayo ni amwazo yake, hata huko nyuma alisema tutapata taabu sana lakini karudi anakuta tunadunda tu.
Atulie tena miaka mitano akirudi atakuta tupo nusu ulaya.
Kama Lisu anaomba maridhiano wewe ni nani? Ni muhimu tukaacha viburi na kuwa wanyenyekevu.
Mathew 10:16
Yote siasa tu braza. Hazihitaji bunduki!Si kuandamana tena baada ya maridhiano mkuu kupuuza.